Nitampataje mume mwenye vigezo hivi?

Tatizo ni imani haba.
 
Siulikataa bwana!Ila usijali dearest zawadi is on the way!Mwakani itabidi nikutoe!

Si shemeji yako alini-surprise jamani......!!!mwakani,namtoroka naenda beach na nyie!!!
 
Angalia tu usijenogewa yakakushinda,manake kaka yangu kutunza anajua,heshima anayo na mengine mengi!
all in all,i will be there for you!!
Jamani dearest hapa na do ze needful tu..akili iko kuleeee....
 
Tabia ya kuchakachua thread za watu si nzuri,twendeni chat room,na KImey apajue.....l.o.l:laugh::laugh:
Hivi huyu mwenye hii thread mbona thread imefika page ya tano hajarudi bado kutupa feedback au bado anafanya recruitment:laugh::laugh::laugh:
 
Hivi huyu mwenye hii thread mbona thread imefika page ya tano hajarudi bado kutupa feedback au bado anafanya recruitment:laugh::laugh::laugh:

Si kazi rahisi kuchagua,mwenyewe badala aite team ya recruitment,anafanya mwenyewe.....we Susy wewe.....l.o.l
 
Kweli shemeji anastahili zawadi!Mwakana unamleta beach bwana..

Sawa my dear,tutafanya kama upendavyo na pia apendavyo manake nae anajua sehemu nzuri.....so we will go as per our different wishes!!!
 
Hahahaha dearest bwana!Yani kama ni safari...niko half way tayari!

Hiyo ni hatua kubwa sana,sasa unaweza weka hata pozi kidogo,upumzike,ukusanye nguvu ya kumalizia the rest of the journey.....l.o.l

Mi happy to hear that dearest!!
 
Hiyo ni hatua kubwa sana,sasa unaweza weka hata pozi kidogo,upumzike,ukusanye nguvu ya kumalizia the rest of the journey.....l.o.l

Mi happy to hear that dearest!!
Hahaha afadhali umenikumbusha kupunguza speed maana hata kupumua sipumui!Asante dearest!
 
Ilivyo ngumu kupata mume mwenye vigezo anavyotaka dada yetu hapo juu!

Kwa JF nzima hakuna mwenye sifa izi? dah
Tabia ya kuchakachua thread za watu si nzuri,twendeni chat room,na KImey apajue.....l.o.l:laugh::laugh:
Wapi huko mamito?
1. Awe Mkirsto
2. awe mweupe
3. awe na feature ya maisha, kwani fedha hutafutwa
4. awe mrefu wa wastani
5. kuanzia miaka 30 kuendelea
hahahaha hakusoma thread ya FL, ya mutu nyeupe?
hebu niulizie mie nnaye karibia 60s inakuwaje hapo?
 
Kwa JF nzima hakuna mwenye sifa izi? dah

Wapi huko mamito?

hahahaha hakusoma thread ya FL, ya mutu nyeupe?
hebu niulizie mie nnaye karibia 60s inakuwaje hapo?
Hommie kwa age yako hiyo unaweza kukubaliwa kwa kigezo kuwa vibabu wanakuwa sio wasumbufu l.o.l
 
Kwa JF nzima hakuna mwenye sifa izi? dah

Wapi huko mamito?

hahahaha hakusoma thread ya FL, ya mutu nyeupe?
hebu niulizie mie nnaye karibia 60s inakuwaje hapo?

mmmhhh uzee tabu jamani,JF chat huijui?utanipa nini nikikuonyesha,eeeehhh,naaam.....l.o.l
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…