Nitamsaidia Humphrey Polepole kutaja wahuni(Hooligans) ambao sio tu hawakumalizwa bali waliongezeka awamu ya tano mara 100 zaidi

Viongozi wote wa CCM tuna ma vieite😅,unaijua viete wewe?? Ndio tunatemebelea sisi zile..Katibu tawala anatembelea Land Cruiser hardtop 1HZ yenye Full AC!..

Wanataka kujifananisha na sisi?~ Amfredi Konokono
Hahaaha all are hooligans. Wanatembelea ma Vieiti 200M wakati Madarasa ya 50M kuhudumia watu maelfu hakuna
 
Aisee Polepole ni muhuni tena kazibukaah! Ka kitoto cha kike cha form 2 toka Buza.

Everyday is Saturday................................😎
 
POLEPOLE NI LIHUNI LA KUTUPWA
 
Wahuni wenxiwe na Polepole kama Sabaya, anajidai hawaoni
Polepoke anajidai hawapo na hawatolei neno lolote wakati mahakama imethibirisha ni wahuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…