Nitamsaidia Humphrey Polepole kutaja wahuni(Hooligans) ambao sio tu hawakumalizwa bali waliongezeka awamu ya tano mara 100 zaidi

Nitamsaidia Humphrey Polepole kutaja wahuni(Hooligans) ambao sio tu hawakumalizwa bali waliongezeka awamu ya tano mara 100 zaidi

Hahaaaa!!!!!jiwe mpk anaingia kaburin kulitaja jina la huyu mwamba hadharani hakuwah,halafu alikuwa akijiita jiwe????
Kumbe alikuwa mdebwedo tu hakika wahuni walijaaa nchi hiii
Jiwe nguvu yake ilikuwa kwenye mitutu pekee nje ya hapo ni mwepesi kama karatasi
 
Polepole alisema wahuni ni wakwepa kodi. Nikitegemea uzi wao uje na takwimu za wakwepa kodi walioongezeka awamu ya tano kama ulivyoeleza kwenye kichwa cha uzi. Lakini wapi ni mbwembwe tu! Hizi spana ni zenu, mtulie zibane vizuri.
 
Mh Polepole naona anazunguka sana kuwataja majina na level zao wahuni ambao anadai Serikali ya Awamu ya Tano ilishindwa kumalizana nao.

Kwanza Polepole anakubali kuwa Wahuni hao ni wanachama wa ccm...
Polepole ni mhuni namba moja kwa sasa baada ya mwendazake kutangulia mbele ya haki akiongozwa na wahuni wenzake kama Musiba,Bashir Ali,Makonda,Homela,Sabaya na TBC.
 
Ripoti ya uchunguzi wa Bashiru ndiyo ina sehemu ya wahuni. Ni vyema iundwe kamati ya uchunguzi kipindi cha hawa wanaojiona wasafi,utakuta uhuni nimkubwa kuliko wa awali.
 
Ripoti ya uchunguzi wa Bashiru ndiyo ina sehemu ya wahuni.
Ni vyema iundwe kamati ya uchunguzi kipindi cha hawa wanaojiona wasafi,utakuta uhuni nimkubwa kuliko wa awali.
😅😅😅😅Wahuni hawawezi kuwachunguza wahuni wenzao.
 
1638601271970.jpeg
 
Back
Top Bottom