Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Yule alikuwa msela mavi kabisa!!Tuweke kumbukumbu vizuri, Magufuli ndio muhuni namba moja Tanzania .
Mungu amuongezee adhabu ya kaburi Amen.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule alikuwa msela mavi kabisa!!Tuweke kumbukumbu vizuri, Magufuli ndio muhuni namba moja Tanzania .
Mungu amuongezee adhabu ya kaburi Amen.
Jiwe nguvu yake ilikuwa kwenye mitutu pekee nje ya hapo ni mwepesi kama karatasiHahaaaa!!!!!jiwe mpk anaingia kaburin kulitaja jina la huyu mwamba hadharani hakuwah,halafu alikuwa akijiita jiwe????
Kumbe alikuwa mdebwedo tu hakika wahuni walijaaa nchi hiii
😅😅😅😅duuhYule alikuwa msela mavi kabisa!!
Jiwe nguvu yake ilikuwa kwenye mitutu pekee nje ya hapo ni mwepesi kama karatasi
Yule alikuwa msela mavi kabisa!!
Mamaae wanajutaHahaaaa!!!!jiwe kawaachia msala huku wahun wenzake
Polepole mhuni tu yule.Ndio uhuni wa polepole ulipo. Akiwambia awataje unaona anambwelambwele Interview ya jana ametia aibu sana.
Polepole ni mhuni namba moja kwa sasa baada ya mwendazake kutangulia mbele ya haki akiongozwa na wahuni wenzake kama Musiba,Bashir Ali,Makonda,Homela,Sabaya na TBC.Mh Polepole naona anazunguka sana kuwataja majina na level zao wahuni ambao anadai Serikali ya Awamu ya Tano ilishindwa kumalizana nao.
Kwanza Polepole anakubali kuwa Wahuni hao ni wanachama wa ccm...
Yeye mwenyewe ajitaje piaMh Polepole naona anazunguka sana kuwataja majina na level zao wahuni ambao anadai Serikali ya Awamu ya Tano ilishindwa kumalizana nao.
Kwanza Polepole anakubali kuwa Wahuni hao ni wanachama wa ccm...
Anataka kujisafisha kuwaaminisha watu kuwa yeye sio mhuni.Yeye mwenyewe ajitaje pia
😅😅😅😅Wahuni hawawezi kuwachunguza wahuni wenzao.Ripoti ya uchunguzi wa Bashiru ndiyo ina sehemu ya wahuni.
Ni vyema iundwe kamati ya uchunguzi kipindi cha hawa wanaojiona wasafi,utakuta uhuni nimkubwa kuliko wa awali.
😅😅Na magoti yumo?Polepole Mhuni, Bashiru Mhuni, Magoti Mhuni