Nitamsaidia Humphrey Polepole kutaja wahuni(Hooligans) ambao sio tu hawakumalizwa bali waliongezeka awamu ya tano mara 100 zaidi

Na wahuni wengine wanazunguka duniani kutuchafulia nchi yetu.
 
Mbona hao wahuni hujawataja majina au unawaogopa watakufanyia uhuni? Ahahahahahahahahah!!!
 
Ni uhuni. Wahuni huwa ni wasaliti. Kinachoendelea sasa hivi Ndanibya Chama chao ni matokeo ya kusalitiana na kufanyiana uhuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…