Nitamsaidia Humphrey Polepole kutaja wahuni(Hooligans) ambao sio tu hawakumalizwa bali waliongezeka awamu ya tano mara 100 zaidi

Wanachama na wafuasi wengi wa upinzani hawana akili. We ni mpumbavu.
Upumbavu wake ni upi??? Hoja haipigwi rungu...hujibiwa kwa hoja
Je si kweli kwamba wabunge na madiwani wa upinzani walinunuliwa kwa kuhonga pesa, kurudishiwa ubunge na vyeo??? Mashinji ni nani sasaivi????
Je siyo kweli kwamba KOROSHO Za wakulima ziliporwa na baadhi yetu tuliitwa kangomba kwa kuwatetea wakulima!
Je siyo kweli kwamba mlidanganywa kwamba mnajenga miradi kwa pesa za ndani KUMBE URONGO juzi NAPE Kauliza ukaguzi wake kila mtu Anamkebehi ajuavyo KISA inakopa MAGUFULI raisi wa PROPAGANDA NA UONGO
Je siyo kweli kwamba mli ua na kutesa mliowaita WAPINZANI? Ben Sanane yupo wapi, Anzory Gwanda yupo wapi?( rejea yanayosemwa na kina Adamoo hapo mahakamani??)
Ulipaswa kusema mtoa mada ni mpumbavu kwa kujibu facts siyo unawaita watu wapumbavu bila facts.
Asante kwa kusoma
 
Alizibiti mafisadi, wala rushwa hakuruhusu mabeberu wachukue rasmali zetu amejenga miradi mingi ya kimkakati na aliwatumbua vyeti feki
Miradi ya kimkakati ya kujenga uwanja wa ndege kwao saizi unanyewa na ngo'ombe . Eti tuanzishe Burigi, nyenyenye bladfaken! Mhuni Mungu ashambeba
 
Amen
 
Huyo mataga kilaza sana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 

Ndani ya Nissan nyeupe na Noah nyeusi walikuwa Kingai, Mahita, Goodluck na Jumanne.

Sabaya na mwenzake wa Dar hawakucheza mbali.

Ninaunga mkono hoja, Polepole:

"Mnavuna mlichopanda. Na bado!!"
 
Wahuni = watu ambao hawajaoa! Polepole ana mkee?!
 
Wahuni ni nyoko. Polepole amesema wamejaa kila idara
Anawajua maana waliwapandikiza Bashiru, yeye Polepole, Bashite na mwendakuzimu, kwa hiyo awataje wahuni wao, kutesa kwa zamu, wamewatelekeza keki ya taifa wanakula wengine, wao macho kodo.
Wateeseke na wao, shenzitaipu hao.

Everyday is Saturday................................😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…