mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Ila si kama wajumbe[emoji28][emoji28][emoji28]wahuni sio watu wazuri
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila si kama wajumbe[emoji28][emoji28][emoji28]wahuni sio watu wazuri
Alizibiti mafisadi, wala rushwa hakuruhusu mabeberu wachukue rasmali zetu amejenga miradi mingi ya kimkakati na aliwatumbua vyeti fekiFafanua uzalendo wa Magufuli ba sisi wengine tuuone
Nimeshamjibu huyo mnafiki mwenzio amani ipi imetoweka mtanzania anaelala njaa ni mvivuAkikujibu initag
SwadaktaMh Polepole naona anazunguka sana kuwataja majina na level zao wahuni ambao anadai Serikali ya Awamu ya Tano ilishindwa kumalizana nao.
Kwanza Polepole anakubali kuwa Wahuni hao ni wanachama wa ccm...
mla rushwa namba moja katuibia trilioni 1.5Alizibiti mafisadi, wala rushwa hakuruhusu mabeberu wachukue rasmali zetu amejenga miradi mingi ya kimkakati na aliwatumbua vyeti feki
Ndiyo wanasema alitumika kumfanyizia Mzee Mangula.[emoji28][emoji28]Na magoti yumo?
Upumbavu wake ni upi??? Hoja haipigwi rungu...hujibiwa kwa hojaWanachama na wafuasi wengi wa upinzani hawana akili. We ni mpumbavu.
Miradi ya kimkakati ya kujenga uwanja wa ndege kwao saizi unanyewa na ngo'ombe . Eti tuanzishe Burigi, nyenyenye bladfaken! Mhuni Mungu ashambebaAlizibiti mafisadi, wala rushwa hakuruhusu mabeberu wachukue rasmali zetu amejenga miradi mingi ya kimkakati na aliwatumbua vyeti feki
Kwani huko ni Uganda? Vipi chuo Cha madini kuwa Moshi ambako hakuna hata dhahabu unasemaje?Wahuni walijenga uwanja Kule chato na Sasa unatumika kuanikia michembe.
AmenMh Polepole naona anazunguka sana kuwataja majina na level zao wahuni ambao anadai Serikali ya Awamu ya Tano ilishindwa kumalizana nao.
Kwanza Polepole anakubali kuwa Wahuni hao ni wanachama wa ccm.
Pili Mh Polepole hakatai kuwa Wahuni hao( Hooligans) ni viongozi ndani ya chama na wengine wameshika nyazifa mbali mbali ndani ya serikali.
Mh Polepole anakubali kuwa hao wahuni ni watu walioaminiwa na wananchi wakapewa dhamana ya kuongoza.
Katika kipindi cha miaka 5-6 tumeshuhudia uhuni mwingi waliofanyiwa watanzania. Hasa chanzo kikiwa ni kutoka ndani na nje ya chama cha mapinduzi ambacho Polepole anakiri wahuni wako huko.
Sasa wahuni hawa Hapa. Polepole acha kuzunguka mbuyu. Hata wewe ni Mhuni. Hujamalizwa ile umekatwa mabega yalitaka kuzidi kichwa. Sasa ule uhuni umekutoka unaona wivu kwa wahuni waliobaki. Uhuni ni sifa ndani ya chama chenu kama ulivyofafanua.
1. Wahuni walidiriki kudanganya watanzania kuwa pesa za miradi ni za ndani kumbe walikuwa wakikopa kimya kimya na hatujui kama hizo pesa wahuni waliweka kwwnye miradi zote au zingine zilidondokea mifukoni mwa wahuni
2. 2019 Tanzania ilishuhudia vurugu( political hooligans) ikifanyika wakti wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Ule ni uhuni wa karne.
3. Wahuni hawa walijaa kila kona ya nchi wakitembelea Noah Nyeusi na Nissani Nyeupe. Kiukweli yeyote aliyekutana nao hadi leo hajasahau kama hajfa basi kabaki na ulemavu wa kudumu. Wahuni wanatoka ccm kwa mujibu wa Polepole na wengine ni viongozi ngazi mbali mbali.
4. Wahuni wana tabia za kuharibu na kupora mali za waungwana. Kumbuka korosho za mtwara, Nyumba za kimara Dar es Salam na pesa za rambi rambi za Bukoba.
5. Polepole akiwa kiongozi wa wahuni anatuhumiwa kuendesha kampeni za kihuni za kununua na kuuza wabunge kutoka vyama mbali mbali vya siasa. Kama kawaida ya wahuni hawakununui kwa pesa tu bali kwa vitisho kutaka kukua, kukuharibia mali, kukuachia ulemavu na Kukufunga kwa kesi ngumu ngumu.
7. Wahuni sio watu wazuri. Wamebomoa mali za machinga.
8. Wahuni wanapenda politoical violence and intimidations. Mwaka 2020 oktoba ni mwaka wa shetani na mwaka wahuni. Wahuni hawa wanapenda kutumia nguvu za dola kuanzisha vurugu, unyama na utesaji. Kama tulivyoshuhudia uhuni wakti wa kampeni hadi uchaguzi watu waliunguziwa nyuma, kupigwa na kuuawa. Wahuni hawakumalizwa bali walitengenezwa na kuwa wengi zaidi.
9. Wahuni hawapendi kuleta huduma za jamii hutumia pesa nyingi kujilinda na kukandamiza wengine. Wakati tunakaribia uchaguzi huona wahuni wakiagiza magari mengi ya washa washa kuliko magari ya Kuhudumia wagonjwa Ambulamce. Mwaka 2014 pekee yaliagizwa magari 700.
10. Kwa mara ya kwnza ktk bara la afrika wahuni walizima internet tanzania nzima na twitter tar 27 October. Wahuni hawapendi ukweli na uwazi. Matendo yao hupenda yafichwe yawe siri yasiongelewe.
11. Polepole wahuni mliwatengeneza sasa wamewageuka. Wewe na Bashiru ni miongoni mwa waathirika kutokana na vitendo vya wahuni.
Mnavuna mlichopanda. Na bado!!
Huyo mataga kilaza sanaUpumbavu wake ni upi??? Hoja haipigwi rungu...hujibiwa kwa hoja
Je si kweli kwamba wabunge na madiwani wa upinzani walinunuliwa kwa kuhonga pesa, kurudishiwa ubunge na vyeo??? Mashinji ni nani sasaivi????
Je siyo kweli kwamba KOROSHO Za wakulima ziliporwa na baadhi yetu tuliitwa kangomba kwa kuwatetea wakulima!
Je siyo kweli kwamba mlidanganywa kwamba mnajenga miradi kwa pesa za ndani KUMBE URONGO juzi NAPE Kauliza ukaguzi wake kila mtu Anamkebehi ajuavyo KISA inakopa MAGUFULI raisi wa PROPAGANDA NA UONGO
Je siyo kweli kwamba mli ua na kutesa mliowaita WAPINZANI? Ben Sanane yupo wapi, Anzory Gwanda yupo wapi?( rejea yanayosemwa na kina Adamoo hapo mahakamani??)
Ulipaswa kusema mtoa mada ni mpumbavu kwa kujibu facts siyo unawaita watu wapumbavu bila facts.
Asante kwa kusoma
😅😅😅malaya mwanaume?
Mh Polepole naona anazunguka sana kuwataja majina na level zao wahuni ambao anadai Serikali ya Awamu ya Tano ilishindwa kumalizana nao.
Kwanza Polepole anakubali kuwa Wahuni hao ni wanachama wa ccm.
Pili Mh Polepole hakatai kuwa Wahuni hao( Hooligans) ni viongozi ndani ya chama na wengine wameshika nyazifa mbali mbali ndani ya serikali.
Mh Polepole anakubali kuwa hao wahuni ni watu walioaminiwa na wananchi wakapewa dhamana ya kuongoza.
Katika kipindi cha miaka 5-6 tumeshuhudia uhuni mwingi waliofanyiwa watanzania. Hasa chanzo kikiwa ni kutoka ndani na nje ya chama cha mapinduzi ambacho Polepole anakiri wahuni wako huko.
Sasa wahuni hawa Hapa. Polepole acha kuzunguka mbuyu. Hata wewe ni Mhuni. Hujamalizwa ile umekatwa mabega yalitaka kuzidi kichwa. Sasa ule uhuni umekutoka unaona wivu kwa wahuni waliobaki. Uhuni ni sifa ndani ya chama chenu kama ulivyofafanua.
1. Wahuni walidiriki kudanganya watanzania kuwa pesa za miradi ni za ndani kumbe walikuwa wakikopa kimya kimya na hatujui kama hizo pesa wahuni waliweka kwwnye miradi zote au zingine zilidondokea mifukoni mwa wahuni
2. 2019 Tanzania ilishuhudia vurugu( political hooligans) ikifanyika wakti wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Ule ni uhuni wa karne.
3. Wahuni hawa walijaa kila kona ya nchi wakitembelea Noah Nyeusi na Nissani Nyeupe. Kiukweli yeyote aliyekutana nao hadi leo hajasahau kama hajfa basi kabaki na ulemavu wa kudumu. Wahuni wanatoka ccm kwa mujibu wa Polepole na wengine ni viongozi ngazi mbali mbali.
4. Wahuni wana tabia za kuharibu na kupora mali za waungwana. Kumbuka korosho za mtwara, Nyumba za kimara Dar es Salam na pesa za rambi rambi za Bukoba.
5. Polepole akiwa kiongozi wa wahuni anatuhumiwa kuendesha kampeni za kihuni za kununua na kuuza wabunge kutoka vyama mbali mbali vya siasa. Kama kawaida ya wahuni hawakununui kwa pesa tu bali kwa vitisho kutaka kukua, kukuharibia mali, kukuachia ulemavu na Kukufunga kwa kesi ngumu ngumu.
7. Wahuni sio watu wazuri. Wamebomoa mali za machinga.
8. Wahuni wanapenda politoical violence and intimidations. Mwaka 2020 oktoba ni mwaka wa shetani na mwaka wahuni. Wahuni hawa wanapenda kutumia nguvu za dola kuanzisha vurugu, unyama na utesaji. Kama tulivyoshuhudia uhuni wakti wa kampeni hadi uchaguzi watu waliunguziwa nyuma, kupigwa na kuuawa. Wahuni hawakumalizwa bali walitengenezwa na kuwa wengi zaidi.
9. Wahuni hawapendi kuleta huduma za jamii hutumia pesa nyingi kujilinda na kukandamiza wengine. Wakati tunakaribia uchaguzi huona wahuni wakiagiza magari mengi ya washa washa kuliko magari ya Kuhudumia wagonjwa Ambulamce. Mwaka 2014 pekee yaliagizwa magari 700.
10. Kwa mara ya kwnza ktk bara la afrika wahuni walizima internet tanzania nzima na twitter tar 27 October. Wahuni hawapendi ukweli na uwazi. Matendo yao hupenda yafichwe yawe siri yasiongelewe.
11. Polepole wahuni mliwatengeneza sasa wamewageuka. Wewe na Bashiru ni miongoni mwa waathirika kutokana na vitendo vya wahuni.
Mnavuna mlichopanda. Na bado!!
Pole kwa kubaki mjane.Wanachama na wafuasi wengi wa upinzani hawana akili. We ni mpumbavu.
We MÀTAGA unajua Deni la Taifa alilotuachia mwendazake?Alizibiti mafisadi, wala rushwa hakuruhusu mabeberu wachukue rasmali zetu amejenga miradi mingi ya kimkakati na aliwatumbua vyeti feki
Wahuni = watu ambao hawajaoa! Polepole ana mkee?!Mh Polepole naona anazunguka sana kuwataja majina na level zao wahuni ambao anadai Serikali ya Awamu ya Tano ilishindwa kumalizana nao.
Kwanza Polepole anakubali kuwa Wahuni hao ni wanachama wa ccm.
Pili Mh Polepole hakatai kuwa Wahuni hao( Hooligans) ni viongozi ndani ya chama na wengine wameshika nyazifa mbali mbali ndani ya serikali.
Mh Polepole anakubali kuwa hao wahuni ni watu walioaminiwa na wananchi wakapewa dhamana ya kuongoza.
Katika kipindi cha miaka 5-6 tumeshuhudia uhuni mwingi waliofanyiwa watanzania. Hasa chanzo kikiwa ni kutoka ndani na nje ya chama cha mapinduzi ambacho Polepole anakiri wahuni wako huko.
Sasa wahuni hawa Hapa. Polepole acha kuzunguka mbuyu. Hata wewe ni Mhuni. Hujamalizwa ile umekatwa mabega yalitaka kuzidi kichwa. Sasa ule uhuni umekutoka unaona wivu kwa wahuni waliobaki. Uhuni ni sifa ndani ya chama chenu kama ulivyofafanua.
1. Wahuni walidiriki kudanganya watanzania kuwa pesa za miradi ni za ndani kumbe walikuwa wakikopa kimya kimya na hatujui kama hizo pesa wahuni waliweka kwwnye miradi zote au zingine zilidondokea mifukoni mwa wahuni
2. 2019 Tanzania ilishuhudia vurugu( political hooligans) ikifanyika wakti wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Ule ni uhuni wa karne.
3. Wahuni hawa walijaa kila kona ya nchi wakitembelea Noah Nyeusi na Nissani Nyeupe. Kiukweli yeyote aliyekutana nao hadi leo hajasahau kama hajfa basi kabaki na ulemavu wa kudumu. Wahuni wanatoka ccm kwa mujibu wa Polepole na wengine ni viongozi ngazi mbali mbali.
4. Wahuni wana tabia za kuharibu na kupora mali za waungwana. Kumbuka korosho za mtwara, Nyumba za kimara Dar es Salam na pesa za rambi rambi za Bukoba.
5. Polepole akiwa kiongozi wa wahuni anatuhumiwa kuendesha kampeni za kihuni za kununua na kuuza wabunge kutoka vyama mbali mbali vya siasa. Kama kawaida ya wahuni hawakununui kwa pesa tu bali kwa vitisho kutaka kukua, kukuharibia mali, kukuachia ulemavu na Kukufunga kwa kesi ngumu ngumu.
7. Wahuni sio watu wazuri. Wamebomoa mali za machinga.
8. Wahuni wanapenda politoical violence and intimidations. Mwaka 2020 oktoba ni mwaka wa shetani na mwaka wahuni. Wahuni hawa wanapenda kutumia nguvu za dola kuanzisha vurugu, unyama na utesaji. Kama tulivyoshuhudia uhuni wakti wa kampeni hadi uchaguzi watu waliunguziwa nyuma, kupigwa na kuuawa. Wahuni hawakumalizwa bali walitengenezwa na kuwa wengi zaidi.
9. Wahuni hawapendi kuleta huduma za jamii hutumia pesa nyingi kujilinda na kukandamiza wengine. Wakati tunakaribia uchaguzi huona wahuni wakiagiza magari mengi ya washa washa kuliko magari ya Kuhudumia wagonjwa Ambulamce. Mwaka 2014 pekee yaliagizwa magari 700.
10. Kwa mara ya kwnza ktk bara la afrika wahuni walizima internet tanzania nzima na twitter tar 27 October. Wahuni hawapendi ukweli na uwazi. Matendo yao hupenda yafichwe yawe siri yasiongelewe.
11. Polepole wahuni mliwatengeneza sasa wamewageuka. Wewe na Bashiru ni miongoni mwa waathirika kutokana na vitendo vya wahuni.
Mnavuna mlichopanda. Na bado!!
Anawajua maana waliwapandikiza Bashiru, yeye Polepole, Bashite na mwendakuzimu, kwa hiyo awataje wahuni wao, kutesa kwa zamu, wamewatelekeza keki ya taifa wanakula wengine, wao macho kodo.Wahuni ni nyoko. Polepole amesema wamejaa kila idara