Nitamsamehe Magufuli ila sio Bashiru

Jiwe anazikusanya then anazipiga, wakumbuka ile 1.5 tr? Huwa anadanganya kukusanya alafu kimya kimya anaenda kukopa kwa mabeberu. Deni la taifa halikamatiki kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali ni je? atapewa nafasi yakufanya hivyo unavyotaka wewe afanye kwa angle ya USOMI?
 
Nikimwangalia kabudi, Mwakyembe, Bashiru na wasomi wnengine naona elimu yetu ina walakini sana au sababu ni njaa na kushindwa kujitegemea nje ya mfumo rasmi
 
Amekuwa mbunge na waziri kwa zaidi ya miaka ishirini halafu bado unasema ni mgeni kwenye siasa? Duh huyu sasa atakuwa amedumaa hivyo hafai kuwa kwenye hiyo nafasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe hauuoni udumavu wa exposure ule -emotions zinamtawala

Kikawaida watu wenye IQ ndogo ndio wanaokua na kuendeshwa na emotion sana au watu ambao mentally hawajakua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Sema alichokosea kwa usomi wako ili tujadili. Unataka tujadili hisia zako? Kama kweli yeye ni masomi mjinga nawe uko kundi hilo.
Eleza kinachokupa uhalali wa kumuona ni mjinga ili tujadili ynayoelweka badala ya bhla! bhla! hizi.
 
Nikimwangalia kabudi, Mwakyembe, Bashiru na wasomi wnengine naona elimu yetu ina walakini sana au sababu ni njaa na kushindwa kujitegemea nje ya mfumo rasmi
Tatizo munadhani elimu ni kupambana na serikali. Huko upinzani ndo hoi kabisa! Hakuna hata hiyo elimu. Mnyika umemsikia tena? Yuko wapi mtu huyu?
 
Sio kosa lao ni either uchague utumie taaluma yako ufe njaa au utii maagizo kwa kuweka taaluma pembeni usife njaa.
Usiwashangae hao tu vipi kuhusu wasomi wakubwa tena maphd holder kama kina savimbi,Mugabe,kamuzu banda,riack machel wametumia elimu zao kuzibomoa nchi zao yaani kufanya mambo kama awajasoma hapa elimu ina msaada gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…