KITAULO
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,926
- 2,797
Rais Mnagawagawa wa zimbambwe wanajeshi wameshampindua, na anatafuta chaka akajifiche Qatar, bongo hatujifunzi tu kwa wenzetu.
Eeeehhhhh hii ni hatari sana...tukifikia huko ujue twafaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Mnagawagawa wa zimbambwe wanajeshi wameshampindua, na anatafuta chaka akajifiche Qatar, bongo hatujifunzi tu kwa wenzetu.
Umepachukia Jalalani?Mimi nimeenda mbali zaidi,nimeichukia UDSM.
Sina cha kuongeza.
Yah tena kwa uchaguzi aliingia ikulu, baada ya kumpindua Marehemu Robert Mugabe.
Amekuwa mbunge na waziri kwa zaidi ya miaka ishirini halafu bado unasema ni mgeni kwenye siasa? Duh huyu sasa atakuwa amedumaa hivyo hafai kuwa kwenye hiyo nafasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sitamsamehe JPM kamanda.
Kaharibu biashara zetu sana! Siku hizi mateja yamepungua sana mitaani. Kazi ya kuuza ngada imekuwa ngumu kichizi.
Anapeleka madawa mahospitali ya serikali anafikiri sie wa private tutapigaje pesa?
Anakusanya kodi juzi kidogo afikishe Trilioni mbili, wakati mwenzake alikuwa anakusanya Bilioni 7 zingine anatuachia wakwepa kodi.
Huyu Magufuli sio wa kumsamehe Kamanda. Kaharibu kila mahali.
Swali ni je? atapewa nafasi yakufanya hivyo unavyotaka wewe afanye kwa angle ya USOMI?JPM Ni mgeni kwa Mambo mengi ya KISIASA ndio maana ameharibu kila mahali NITAMSAMEHE kwasababu ya ugeni wake kwenye mambo ya uongozi kimataifa cc Kama taifa tuliyumba ndio maana yeye akajiokotea pera (guava) kwenye mpapai.
Mungu anisamehe siwezi kumsamehe bashiru mpaka naingia kaburini !!
Kwasababu yeye ni msomi mkubwa Tanzania haya anayoyafanya Leo KISIASA cc wengine tunamuangalia kwenye angle ya usomi mahiri wa UD .
Sawa amesaliti usomi ila nacc aturuhusu kwa mioyo yetu kunjufu tumsaliti na kumchukia milele!.
Imetupa picha ya waafrika wasomi wajinga !!
Mungu mkumbuke tundulisu!!!
Kweli kabisa, huyu ni kiazi ndio maana anatusumbua!Amekuwa mbunge na waziri kwa zaidi ya miaka ishirini halafu bado unasema ni mgeni kwenye siasa? Duh huyu sasa atakuwa amedumaa hivyo hafai kuwa kwenye hiyo nafasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuh anaitwa Emmanuel MnangagwaRais Mnagawagawa wa zimbambwe wanajeshi wameshampindua, na anatafuta chaka akajifiche Qatar, bongo hatujifunzi tu kwa wenzetu.
Kwani wewe hauuoni udumavu wa exposure ule -emotions zinamtawalaAmekuwa mbunge na waziri kwa zaidi ya miaka ishirini halafu bado unasema ni mgeni kwenye siasa? Duh huyu sasa atakuwa amedumaa hivyo hafai kuwa kwenye hiyo nafasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
😃😃😃JPM Ni mgeni kwa Mambo mengi ya KISIASA ndio maana ameharibu kila mahali NITAMSAMEHE kwa sababu ya ugeni wake kwenye mambo ya uongozi kimataifa sisi Kama taifa tuliyumba ndio maana yeye akajiokotea pera (guava) kwenye mpapai.
Mungu anisamehe siwezi kumsamehe bashiru mpaka naingia kaburini!
Kwa sababu yeye ni msomi mkubwa Tanzania haya anayoyafanya Leo KISIASA sisi wengine tunamuangalia kwenye angle ya usomi mahiri wa UD.
Sawa amesaliti usomi ila nacc aturuhusu kwa mioyo yetu kunjufu tumsaliti na kumchukia milele!.
Imetupa picha ya Waafrika wasomi wajinga!
Mungu mkumbuke Tundu Lissu.
Mmmh imetokea llini, hii.?Mkuuh anaitwa Emmanuel Mnangagwa
Chanzo cha habari? Sijjaiona sehemu hiyo habari ya kupinduliwa kwake.Mkuuh anaitwa Emmanuel Mnangagwa
Sema alichokosea kwa usomi wako ili tujadili. Unataka tujadili hisia zako? Kama kweli yeye ni masomi mjinga nawe uko kundi hilo.JPM Ni mgeni kwa Mambo mengi ya KISIASA ndio maana ameharibu kila mahali NITAMSAMEHE kwa sababu ya ugeni wake kwenye mambo ya uongozi kimataifa sisi Kama taifa tuliyumba ndio maana yeye akajiokotea pera (guava) kwenye mpapai.
Mungu anisamehe siwezi kumsamehe bashiru mpaka naingia kaburini!
Kwa sababu yeye ni msomi mkubwa Tanzania haya anayoyafanya Leo KISIASA sisi wengine tunamuangalia kwenye angle ya usomi mahiri wa UD.
Sawa amesaliti usomi ila nacc aturuhusu kwa mioyo yetu kunjufu tumsaliti na kumchukia milele!.
Imetupa picha ya Waafrika wasomi wajinga!
Mungu mkumbuke Tundu Lissu.
Tatizo munadhani elimu ni kupambana na serikali. Huko upinzani ndo hoi kabisa! Hakuna hata hiyo elimu. Mnyika umemsikia tena? Yuko wapi mtu huyu?Nikimwangalia kabudi, Mwakyembe, Bashiru na wasomi wnengine naona elimu yetu ina walakini sana au sababu ni njaa na kushindwa kujitegemea nje ya mfumo rasmi
Sio kosa lao ni either uchague utumie taaluma yako ufe njaa au utii maagizo kwa kuweka taaluma pembeni usife njaa.Rais magufuli ni mgeni kwa Mambo mengi ya kisiasa ndio maana ameharibu kila mahali nitamsamehe kwa sababu ya ugeni wake kwenye mambo ya uongozi kimataifa sisi Kama taifa tuliyumba ndio maana yeye akajiokotea pera (guava) kwenye mpapai.
Mungu anisamehe siwezi kumsamehe bashiru mpaka naingia kaburini!
Kwa sababu yeye ni msomi mkubwa Tanzania haya anayoyafanya Leo KISIASA sisi wengine tunamuangalia kwenye angle ya usomi mahiri wa UD.
Sawa amesaliti usomi ila nacc aturuhusu kwa mioyo yetu kunjufu tumsaliti na kumchukia milele!.
Imetupa picha ya Waafrika wasomi wajinga!
Mungu mkumbuke Tundu Lissu.
Historia haionyeshi kama amewahishinda chochote nje ya kubebwaKwa muda wote huo hajawahi pigiwa kura na kumshinda mpinzani wake.