Nitamsamehe Magufuli ila sio Bashiru

Nitamsamehe Magufuli ila sio Bashiru

Jiwe anazikusanya then anazipiga, wakumbuka ile 1.5 tr? Huwa anadanganya kukusanya alafu kimya kimya anaenda kukopa kwa mabeberu. Deni la taifa halikamatiki kwa sasa.
Mi sitamsamehe JPM kamanda.
Kaharibu biashara zetu sana! Siku hizi mateja yamepungua sana mitaani. Kazi ya kuuza ngada imekuwa ngumu kichizi.
Anapeleka madawa mahospitali ya serikali anafikiri sie wa private tutapigaje pesa?
Anakusanya kodi juzi kidogo afikishe Trilioni mbili, wakati mwenzake alikuwa anakusanya Bilioni 7 zingine anatuachia wakwepa kodi.
Huyu Magufuli sio wa kumsamehe Kamanda. Kaharibu kila mahali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JPM Ni mgeni kwa Mambo mengi ya KISIASA ndio maana ameharibu kila mahali NITAMSAMEHE kwasababu ya ugeni wake kwenye mambo ya uongozi kimataifa cc Kama taifa tuliyumba ndio maana yeye akajiokotea pera (guava) kwenye mpapai.

Mungu anisamehe siwezi kumsamehe bashiru mpaka naingia kaburini !!

Kwasababu yeye ni msomi mkubwa Tanzania haya anayoyafanya Leo KISIASA cc wengine tunamuangalia kwenye angle ya usomi mahiri wa UD .

Sawa amesaliti usomi ila nacc aturuhusu kwa mioyo yetu kunjufu tumsaliti na kumchukia milele!.

Imetupa picha ya waafrika wasomi wajinga !!

Mungu mkumbuke tundulisu!!!
Swali ni je? atapewa nafasi yakufanya hivyo unavyotaka wewe afanye kwa angle ya USOMI?
 
Nikimwangalia kabudi, Mwakyembe, Bashiru na wasomi wnengine naona elimu yetu ina walakini sana au sababu ni njaa na kushindwa kujitegemea nje ya mfumo rasmi
 
Amekuwa mbunge na waziri kwa zaidi ya miaka ishirini halafu bado unasema ni mgeni kwenye siasa? Duh huyu sasa atakuwa amedumaa hivyo hafai kuwa kwenye hiyo nafasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe hauuoni udumavu wa exposure ule -emotions zinamtawala

Kikawaida watu wenye IQ ndogo ndio wanaokua na kuendeshwa na emotion sana au watu ambao mentally hawajakua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JPM Ni mgeni kwa Mambo mengi ya KISIASA ndio maana ameharibu kila mahali NITAMSAMEHE kwa sababu ya ugeni wake kwenye mambo ya uongozi kimataifa sisi Kama taifa tuliyumba ndio maana yeye akajiokotea pera (guava) kwenye mpapai.

Mungu anisamehe siwezi kumsamehe bashiru mpaka naingia kaburini!

Kwa sababu yeye ni msomi mkubwa Tanzania haya anayoyafanya Leo KISIASA sisi wengine tunamuangalia kwenye angle ya usomi mahiri wa UD.

Sawa amesaliti usomi ila nacc aturuhusu kwa mioyo yetu kunjufu tumsaliti na kumchukia milele!.

Imetupa picha ya Waafrika wasomi wajinga!

Mungu mkumbuke Tundu Lissu.
😃😃😃
 
Sema alichokosea kwa usomi wako ili tujadili. Unataka tujadili hisia zako? Kama kweli yeye ni masomi mjinga nawe uko kundi hilo.
Eleza kinachokupa uhalali wa kumuona ni mjinga ili tujadili ynayoelweka badala ya bhla! bhla! hizi.
 
Nikimwangalia kabudi, Mwakyembe, Bashiru na wasomi wnengine naona elimu yetu ina walakini sana au sababu ni njaa na kushindwa kujitegemea nje ya mfumo rasmi
Tatizo munadhani elimu ni kupambana na serikali. Huko upinzani ndo hoi kabisa! Hakuna hata hiyo elimu. Mnyika umemsikia tena? Yuko wapi mtu huyu?
 
Rais magufuli ni mgeni kwa Mambo mengi ya kisiasa ndio maana ameharibu kila mahali nitamsamehe kwa sababu ya ugeni wake kwenye mambo ya uongozi kimataifa sisi Kama taifa tuliyumba ndio maana yeye akajiokotea pera (guava) kwenye mpapai.

Mungu anisamehe siwezi kumsamehe bashiru mpaka naingia kaburini!

Kwa sababu yeye ni msomi mkubwa Tanzania haya anayoyafanya Leo KISIASA sisi wengine tunamuangalia kwenye angle ya usomi mahiri wa UD.

Sawa amesaliti usomi ila nacc aturuhusu kwa mioyo yetu kunjufu tumsaliti na kumchukia milele!.

Imetupa picha ya Waafrika wasomi wajinga!

Mungu mkumbuke Tundu Lissu.
Sio kosa lao ni either uchague utumie taaluma yako ufe njaa au utii maagizo kwa kuweka taaluma pembeni usife njaa.
Usiwashangae hao tu vipi kuhusu wasomi wakubwa tena maphd holder kama kina savimbi,Mugabe,kamuzu banda,riack machel wametumia elimu zao kuzibomoa nchi zao yaani kufanya mambo kama awajasoma hapa elimu ina msaada gani
 
Back
Top Bottom