Nitamsamehe Magufuli ila sio Bashiru

Nitamsamehe Magufuli ila sio Bashiru

Mimi nawachukia hao fisi wa kijani wa Lumumba kuliko hata shetani! Ni afadhali kwenda motoni milele na shetani kuliko kukaa hata dakika moja na hayo mashetani ya kijani ya Lumumba!
 
Anaishi kwa Kodi zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, sio tu anaishi kwa kodi zetu, bali anazitumia kodi zetu ovyo kama mali yake binafsi, hivi majuzi tuliona kwenye social medias kwamba Aliamka saa 7 usiku baada kukosa usingizi akaamua kupiga simu kigoma kwenye ukumbi wa starehe ambapo vijana wa bongo fleva walikuwa katika starehe zao akawaambia anawachangia shilingi million 10 eti ku sapoti kazi yao ya kutoa burudani
 
Rais magufuli ni mgeni kwa Mambo mengi ya kisiasa ndio maana ameharibu kila mahali nitamsamehe kwa sababu ya ugeni wake kwenye mambo ya uongozi kimataifa sisi Kama taifa tuliyumba ndio maana yeye akajiokotea pera (guava) kwenye mpapai.

Mungu anisamehe siwezi kumsamehe bashiru mpaka naingia kaburini!

Kwa sababu yeye ni msomi mkubwa Tanzania haya anayoyafanya Leo KISIASA sisi wengine tunamuangalia kwenye angle ya usomi mahiri wa UD.

Sawa amesaliti usomi ila nacc aturuhusu kwa mioyo yetu kunjufu tumsaliti na kumchukia milele!.

Imetupa picha ya Waafrika wasomi wajinga!

Mungu mkumbuke Tundu Lissu.
Labda ugeni kwenye mambo ya uchumi ukapelekea kuboronga Na sio ugeni kwenye siasa
 
Mkuu, sio tu anaishi kwa kodi zetu, bali anazitumia kodi zetu ovyo kama mali yake binafsi, hivi majuzi tuliona kwenye social medias kwamba Aliamka saa 7 usiku baada kukosa usingizi akaamua kupiga simu kigoma kwenye ukumbi wa starehe ambapo vijana wa bongo fleva walikuwa katika starehe zao akawaambia anawachangia shilingi million 10 eti ku sapoti kazi yao ya kutoa burudani
Wa kulaumiwa ni nyerere kutuletea katiba mbovu na maraisi wastaafu pia kwa kutoona umuhimu wa katiba ya wananchi japo wameona umuhimu wake sasa baada ya kuwa nje.Ipo tofauti ya katiba ya nyerere na katiba ya wananchi, ya nyerere hakuna mwanachi yeyote aliyeombwa kuishiriki bali ilikopiwa toka kwa dikteta Mao wa China na kuletwa itumike
 
Rais magufuli ni mgeni kwa Mambo mengi ya kisiasa ndio maana ameharibu kila mahali nitamsamehe kwa sababu ya ugeni wake kwenye mambo ya uongozi kimataifa sisi Kama taifa tuliyumba ndio maana yeye akajiokotea pera (guava) kwenye mpapai.

Mungu anisamehe siwezi kumsamehe bashiru mpaka naingia kaburini!

Kwa sababu yeye ni msomi mkubwa Tanzania haya anayoyafanya Leo KISIASA sisi wengine tunamuangalia kwenye angle ya usomi mahiri wa UD.

Sawa amesaliti usomi ila nacc aturuhusu kwa mioyo yetu kunjufu tumsaliti na kumchukia milele!.

Imetupa picha ya Waafrika wasomi wajinga!

Mungu mkumbuke Tundu Lissu.
NENDA PALE UTAWALA SUPERMARKET KWA CHINI AGIZA DOMPO NNE NTALIPA TAJA BASIASI 2020
 
Ndioo MAANA wasomi wengii wameishiaa KUNYWA mapombe Makaliu pale d.........opp na mlimani primary school NAHISI stress nazoo zinachangia tumsamehe ufikembingunii
 
Wewe ni pumbavu
Rais magufuli ni mgeni kwa Mambo mengi ya kisiasa ndio maana ameharibu kila mahali nitamsamehe kwa sababu ya ugeni wake kwenye mambo ya uongozi kimataifa sisi Kama taifa tuliyumba ndio maana yeye akajiokotea pera (guava) kwenye mpapai.

Mungu anisamehe siwezi kumsamehe bashiru mpaka naingia kaburini!

Kwa sababu yeye ni msomi mkubwa Tanzania haya anayoyafanya Leo KISIASA sisi wengine tunamuangalia kwenye angle ya usomi mahiri wa UD.

Sawa amesaliti usomi ila nacc aturuhusu kwa mioyo yetu kunjufu tumsaliti na kumchukia milele!.

Imetupa picha ya Waafrika wasomi wajinga!

Mungu mkumbuke Tundu Lissu.
 
Ukiuliza sababu za kumchukia hauna ndio hivyo WATANZANIA MITANDAONI kila mtu anataka kumpangia mwenzake jinsi ya kuishi.

Eti unataka akufurahisha wewe kama nani na unamsaidia nini kwenye maisha yake?
Nadhani hatujawahi kuzoea siasa za kununuana. Home boy kashuhudia mengi!!!!!!!!!!!!!!!
 
Historia itamkumbuka kaka yangu Magufuli kwa uthubutu aisee! Huyu mheshimiwa amethubutu sana hata kama kakosea mimi nam-like sana. Unaona mambo ya ushikaji yaliyokuwa yanaua nchi hii ameyafyatulia mbali? Hamuoni tu jameni? Kweli ukitaka kuwaficha watanzania jambo thubutu na hawataliona. Taifa la walalamishi. Tunalipa hadi bills vitandani tukiwa vinenani hatuoni GePG ilivyoleta uroda? Kwa mengi Magufuli amefanya na sidhani ikiwa tutapata mwingine. Kwa uthubutu huu tangu taifa lianzishwe ni wa pili, wa kwanza Mwinyi ruksa aliyeondoa umaskini wa kutupa enzi hizo sokoni unanunua tairi kama ndala, chupi za VIP kwa wanaume zikikatika mchana ziko kifuani, nyumba za makuti kaleta bati, magari, tv, radio, magazeti, fedha kwa kila mfuko wa mtanzania, mabumu ya kutosha kwa wanachuo, na ruksa kula bata hadi mmesahau mzee ruksa? Nauli ya dalala kwenda shule mzazi nakupa ya wiki nzima kama 20k unapewa 20k na shopping za Krismasi tulifaidi enzi za huyu mzee wa kuleta uroda. Hizi ndiyo historia mengine majungu na ujinga. Tuufute mara moja!
 
Ukiuliza sababu za kumchukia hauna ndio hivyo WATANZANIA MITANDAONI kila mtu anataka kumpangia mwenzake jinsi ya kuishi.

Eti unataka akufurahisha wewe kama nani na unamsaidia nini kwenye maisha yake?
Kwasababu unepumbazwa kiakili kifikra na kimaono,unayaona haya mitandaoni tu.
Pita mitaani ndiyo utajua ni kwa kiasi gani wananchi wanawachukia viongozi waserikali na CCM kwa ujumla.
Hata wachache waliowema wema wao hawauoni.
Fanya uchunguzi,ulishindwa,mshauri Mwenyekiti wako na katibu wake, waweke jamvi sawa la kisiasa na tume huru mwaka huu wa uchaguzi UTAPATA MAJIBU SAHIHI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani jamaa limekua jinga kweli kweli.....hizi ndo phd zinazotakiwa kubojiwa uhalali wake ikiwemo ya jiwe...
Bahati mbaya wenye akili kubwa km Ben Saanane wakihoji wanapotezwa milele......
TOO BAD
 
They wanted Lissu to Rest In Peace.....lakini Mungu akawagomea..!!
 
Yaani jamaa limekua jinga kweli kweli.....hizi ndo phd zinazotakiwa kubojiwa uhalali wake ikiwemo ya jiwe...
Bahati mbaya wenye akili kubwa km Ben Saanane wakihoji wanapotezwa milele......
TOO BAD
Kaka si yeye ila ni li chama chake, hata wewe ukijiunga CCM utakuwa hivyo hivyo au zaidi.
 
Back
Top Bottom