Nitamtetea na kumsemea Rais Samia na Serikali ya CCM mpaka dakika ya mwisho bila kukatishwi tamaa kwa namna yoyote ile

Haya mtetezi wa Rais.

Wewe ndo thinktank ya CCM na unaokoa jahazi naona🤣
 

After ku Edit sanaaaaa huu ndio mkeka wa mwisho 😂

Nilisema mchana kuwa utakuja na Andiko la kufanya watu wabubujikwe na machozi
 
After ku Edit sanaaaaa huu ndio mkeka wa mwisho 😂

Nilisema mchana kuwa utakuja na Andiko la kufanya watu wabubujikwe na machozi
Hapo nimejitahidi sana kulifupisha mpaka kiwango cha Mwisho😀😀😀Rais Samia ni kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu
 
Haya mtetezi wa Rais.

Wewe ndo thinktank ya CCM na unaokoa jahazi naona🤣
Nimejitolea kwa ajili ya Taifa langu,Rais wangu, serikali yangu na CCM yangu.Taifa letu lipo salama kwa sababu ya uwepo wa CCM Madarakani.Embu fikiria Taifa lingekuwaje kama chama kama CHADEMA kingekuwa madarakani? Huoni kwamba lingekuwa limesambaratika na kupasuka pasuka
 
Wananchi wanamkubali sana Rais Samia na ndio maana wanafurika kwa wingi kiasi hiki katika mikutano yake
 
Nilishasema unaweza kuta hii ni Id ya Samia mwenyewe ndio ana type
 
Kwani wewe ni MwijaKu ama?
 
CCM imetufikisha hapa

Ebdelea kuitetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…