Nitamtetea na kumsemea Rais Samia na Serikali ya CCM mpaka dakika ya mwisho bila kukatishwi tamaa kwa namna yoyote ile



Endelea kumsifu na kumuabudu... Lia gala gala...piga magoti...sujudu!
Chafuka ilmradi chukua chako mapema!
 
Shahawa zilizokuzaa heri zingemwagwa chooni tu
 
Na ilivyo nzuri sasa na ya kupendeza,
kazi muhimu sana ya kujitolea kitaifa na kimataifa ya kusema ukweli kizalendo, huwa haichoshi na wala haihitaji malipo, kwasababu inaambatana na Neema na Baraka za Mungu ndani yake.

Keep it up comrade 👊👊💪💪
 
Tanzania 🇹🇿 yetu
Tanzania 🇹🇿 yetu
Tanzania 🇹🇿 yetu
 
Mama anaendelea vizuri sana na ndio maana kila mtu anashuhudia mafanikio makubwa yaliyopatikana ndani ya muda mfupi sana wa uongozi wake .hata suala la katiba mpya nalo wala usijali hata kidogo maana mama ana dhamira njema kwa Taifa letu.

Toeni vichekesho😂😂 Mama habebeki ametuchosha na uongo uongo wake
 
Piga kazi
 
2031 utakuwa WA kwanza kumtukana mitandaoni.
 
Kwakifupi wewe ndiyo unamwaribia mmno nakuchochea hasira za watu juu yake maana hujui chochote kuhusu kumsemea mtu unabwabwaja utumbo mwiiingi wenye akili wanakuona lofa tuu.
Unajidai propagandist uchwara huna hoja sana unajikomba update kacheo uikimbie njaa... Tafuta kazi dogo hizi siasa wala si saizi Yako unajidhalilisha tuu utakuja kosa nafasi nzuri kisa kujikomba kijinga,
kujidai mtawazaji mikono kunuka mvi
 
Naona sindano ya ukweli imekuingia vizuri mpaka unaanza kuropoka ropoka tu hapa
 
Wajinga ndo wapo hivyo kama ulivyo wewe. Hata wakiibiwa wao ni kusifu tu. Ukiwa na akili timamu huyu si kiongozi hata wa kumsikiliza kabisa. Wewe ni jinga. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto
 
Wajinga ndo wapo hivyo kama ulivyo wewe. Hata wakiibiwa wao ni kusifu tu. Ukiwa na akili timamu huyu si kiongozi hata wa kumsikiliza kabisa. Wewe ni jinga. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto
Mimi nikajua labda umefungiwa hospitalini kupata matibabu.Kumbe upo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…