Nitamtetea na kumsemea Rais Samia na Serikali ya CCM mpaka dakika ya mwisho bila kukatishwi tamaa kwa namna yoyote ile

Kwa kweli kazi ipo!
Danganyika kuibiwa na kuporwa maliasili na rasilimali bado watu wana fikra kama hizi?!
 
Nyie ndio mnaosababisha Mh. Raisi aonekane dhaifu, alikwambia anahitaji kutetewa?, kwasabu gani? Kwa ajili ya nini?, kwa manufaa gani?
 
Nyie ndio mnaosababisha Mh. Raisi aonekane dhaifu, alikwambia anahitaji kutetewa?, kwasabu gani? Kwa ajili ya nini?, kwa manufaa gani?
Kwa hiyo unataka tukae kimya bila kusema mambo makubwa aliyoyafanya hapa Nchini?
 
Kukatwishi ndio nini!?,andika vizuri we chawa,vipi unawahi mgao Lumumba nini Luca πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…