Nitamtetea na kumsemea Rais Samia na Serikali ya CCM mpaka dakika ya mwisho bila kukatishwi tamaa kwa namna yoyote ile

Lucas you are so blind and irrational.Binadamu mwenye akili hua hatetei mambo blindly,anaangalia rationality.Wewe katiba tuliyo-nayo inavunjwa, sawa;haki za binadamu zinakanyagwa, sawa;rasilimali za nchi zinaibiwa na mabeberu au kutumika vibaya, sawa;Watanganyika wanakuwa sabotaged in the name of muungano,sawa;mali za watanganyika zinaporwa na kupelekwa Zanzibar, sawa,wewe ni mtu gani?What are they paying you to betray your fellow Tanganyikans.Lucas, wake up,stop betraying your fellow Tanganyikans.Unachofanya ni betrayal.
 
Je hiyo hadhira ni wakina nani je unaweza ukawasafisha ubongo wao, (brainwash them)
 
Umesahau kuweka number yako ya simu.
 
Muda wake ukiisha au akiangushwa 2025 kwa kura nyingi (kama tunavyotarajia) unabadili ID au siyo?
Aangushwe na nani? Hivi mtu ww ni mwenyekiti unateua mhesabu kura,katibu wa kikao..halafu Tena ww ndo unateua mtangaza matokeo ...unaangushwaje Kwa kura nyingi?
Njia pekee ya kumfanya asigombee ni kumuua tu kabla ya 2025
 
Umeshakata tamaa, ndio maana saiz unaenda na RC wa Arusha na umuitaye mama wa kufikia.
 
Utetezi wako Komred uendane na ushauri pia kwa ukiukaji wa haki za binadamu unajitokeza Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…