Huyu ni kunguni kabisaaaKama siyo chawa basi wewe ni kunguni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni kunguni kabisaaaKama siyo chawa basi wewe ni kunguni
Jinga sana wewe dogo.Sina muda mchafu na mashoga usinizoee.
😀😀Kukatwishi ndio nini!?,andika vizuri we chawa,vipi unawahi mgao Lumumba nini Luca 😂😂😂😆
Lucas you are so blind and irrational.Binadamu mwenye akili hua hatetei mambo blindly,anaangalia rationality.Wewe katiba tuliyo-nayo inavunjwa, sawa;haki za binadamu zinakanyagwa, sawa;rasilimali za nchi zinaibiwa na mabeberu au kutumika vibaya, sawa;Watanganyika wanakuwa sabotaged in the name of muungano,sawa;mali za watanganyika zinaporwa na kupelekwa Zanzibar, sawa,wewe ni mtu gani?What are they paying you to betray your fellow Tanganyikans.Lucas, wake up,stop betraying your fellow Tanganyikans.Unachofanya ni betrayal.Ndugu zangu Watanzania,
Mimi nilishajitolea kwa dhati ya moyo wangu na kwa hiyari yangu pasipo kulipwa kama ambavyo wengine wanafikiria hivyo. Mimi nilishaamua kama mwana CCM kuwa sitakaa kimya wala kunyamaza wala kuona aibu wala kuogopa kumtetea Rais Wangu Mama Samia.
Nilishakataa kabisa kufumba kinywa changu na mdomo wangu napoona watu wanafanya upotoshaji na uchonganishi wa kumchonganisha Rais Samia na serikali yake pamoja na wananchi ili waichukie serikali yake. Nitaeleza na kuyaimba mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia na serikali yake ya CCM.
Nitawaelezea wananchi nini Mama amefanya katika Elimu,afya , Umeme, barabarani,ajira,kilimo, uwekezaji, utalii, democrasia,uhuru wa Vyombo vya habari,amani na mengine mengi. Naendelea kuwakumbusheni ni Rais Samia mama yetu mpendwa aliyeleta Elimu bure mpaka kidato cha sita,kutoa maelfu ya ajira kwa vijana,kuongeza bajeti ya kilimo kufikia Trilioni moja na pointi, kuwapandisha mishahara watumishi wa umma hasa wale wa kima cha chini kwa 23%,kupeleka umeme maeneo mbalimbali vijijini mpaka kwenye vitongoji.
Kutoa Ruzuku kwenye mbolea,kuruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na siasa za majukwaa,kujenga zahanati,vituo vya afya, hospitalini za wilaya,mikoa ,rufaa na kanda na kuweka vifaa tiba vya kisasa na bora pamoja na wataalamu wa kutosha. Ni Rais Samia ndiye aliyewafanya wakimbizi wa kisiasa kurejea Nchini.
ni Rais Samia ndiye aliwalipa CHADEMA ruzuku ya Billion 2.7 kwa mkupuo,ni Rais Samia ndiye ameleta nuru na matumaini kwa vijana wanaomaliza kidato cha sita kupata mikopo ya vyuo vikuu pamoja na ajira kwa wale wanaomaliza vyuo vikuu.hata kama hawaajiriwi wote lakini matumaini yanaonekana machoni pa vijana.
Ni Rais Samia aliyekamilisha ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere lenye kuzalisha megawati 2115 ambapo alilikuta likiwa 34% tu.ni Rais Samia aliyemaliza mgao wa umeme kihodari.ni Rais Samia aliyeleta maajabu na miujiza ya kuona Treni ya umeme ukitembea katika ardhi ya Tanzania,ni Rais Samia aliyefanya sasa tunapata watalii kama mafuriko takribani Millioni 1.8. ni Rais Samia aliyeifungua nchi hii na kupelekea wawekezaji kumiminika Nchini kama mchanga wa baharini.
Ni Rais Samia aliyeimarisha diplomasia mpaka Kamala Harris makamu wa Rais wa Marekani kuichagua Tanzania kati ya nchi chache alizozitembelea Afrika,ni Rais Samia aliyewainua wakulima wa Nchi hii na kuja na kauli mbiu ya kilimo ni biashara na hivyo kukipatia thamani kilimo.
Nani amefanya haya kama siyo Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan? Hapo ni kwa uchache maana sijazungumzia bado habari za kuboresha mazingira ya biashara hapa Nchini ,kujenga shule za msingi na sekondari,kumaliza changamoto ya madawati shuleni na mengine mengi sana.
Nitaendelea Kumsemea Rais Samia na serikali yake.hata nitukanwe matusi ya kila aina ,hata mtukane wazazi wangu lakini mimi nitaendelea kuusema ukweli tu. Nitafanya kazi hiyo kwa hiyari na kwa gharama zangu kama ambavyo nimekuwa nikifanya siku zote.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Umesahau kuweka number yako ya simu.Ndugu zangu Watanzania,

Aangushwe na nani? Hivi mtu ww ni mwenyekiti unateua mhesabu kura,katibu wa kikao..halafu Tena ww ndo unateua mtangaza matokeo ...unaangushwaje Kwa kura nyingi?Muda wake ukiisha au akiangushwa 2025 kwa kura nyingi (kama tunavyotarajia) unabadili ID au siyo?
Utetezi wako Komred uendane na ushauri pia kwa ukiukaji wa haki za binadamu unajitokeza Tanzania.Ndugu zangu Watanzania,
Mimi nilishajitolea kwa dhati ya moyo wangu na kwa hiyari yangu pasipo kulipwa kama ambavyo wengine wanafikiria hivyo. Mimi nilishaamua kama mwana CCM kuwa sitakaa kimya wala kunyamaza wala kuona aibu wala kuogopa kumtetea Rais Wangu Mama Samia.
Nilishakataa kabisa kufumba kinywa changu na mdomo wangu napoona watu wanafanya upotoshaji na uchonganishi wa kumchonganisha Rais Samia na serikali yake pamoja na wananchi ili waichukie serikali yake. Nitaeleza na kuyaimba mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia na serikali yake ya CCM.
Nitawaelezea wananchi nini Mama amefanya katika Elimu,afya , Umeme, barabarani,ajira,kilimo, uwekezaji, utalii, democrasia,uhuru wa Vyombo vya habari,amani na mengine mengi. Naendelea kuwakumbusheni ni Rais Samia mama yetu mpendwa aliyeleta Elimu bure mpaka kidato cha sita,kutoa maelfu ya ajira kwa vijana,kuongeza bajeti ya kilimo kufikia Trilioni moja na pointi, kuwapandisha mishahara watumishi wa umma hasa wale wa kima cha chini kwa 23%,kupeleka umeme maeneo mbalimbali vijijini mpaka kwenye vitongoji.
Kutoa Ruzuku kwenye mbolea,kuruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na siasa za majukwaa,kujenga zahanati,vituo vya afya, hospitalini za wilaya,mikoa ,rufaa na kanda na kuweka vifaa tiba vya kisasa na bora pamoja na wataalamu wa kutosha. Ni Rais Samia ndiye aliyewafanya wakimbizi wa kisiasa kurejea Nchini.
ni Rais Samia ndiye aliwalipa CHADEMA ruzuku ya Billion 2.7 kwa mkupuo,ni Rais Samia ndiye ameleta nuru na matumaini kwa vijana wanaomaliza kidato cha sita kupata mikopo ya vyuo vikuu pamoja na ajira kwa wale wanaomaliza vyuo vikuu.hata kama hawaajiriwi wote lakini matumaini yanaonekana machoni pa vijana.
Ni Rais Samia aliyekamilisha ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere lenye kuzalisha megawati 2115 ambapo alilikuta likiwa 34% tu.ni Rais Samia aliyemaliza mgao wa umeme kihodari.ni Rais Samia aliyeleta maajabu na miujiza ya kuona Treni ya umeme ukitembea katika ardhi ya Tanzania,ni Rais Samia aliyefanya sasa tunapata watalii kama mafuriko takribani Millioni 1.8. ni Rais Samia aliyeifungua nchi hii na kupelekea wawekezaji kumiminika Nchini kama mchanga wa baharini.
Ni Rais Samia aliyeimarisha diplomasia mpaka Kamala Harris makamu wa Rais wa Marekani kuichagua Tanzania kati ya nchi chache alizozitembelea Afrika,ni Rais Samia aliyewainua wakulima wa Nchi hii na kuja na kauli mbiu ya kilimo ni biashara na hivyo kukipatia thamani kilimo.
Nani amefanya haya kama siyo Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan? Hapo ni kwa uchache maana sijazungumzia bado habari za kuboresha mazingira ya biashara hapa Nchini ,kujenga shule za msingi na sekondari,kumaliza changamoto ya madawati shuleni na mengine mengi sana.
Nitaendelea Kumsemea Rais Samia na serikali yake.hata nitukanwe matusi ya kila aina ,hata mtukane wazazi wangu lakini mimi nitaendelea kuusema ukweli tu. Nitafanya kazi hiyo kwa hiyari na kwa gharama zangu kama ambavyo nimekuwa nikifanya siku zote.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Utakata pumzi wewe.Pumzi itakataa tu
Ova
Nimeacha nafasi uweke namba yako.Umesahau kuweka number yako ya simu.
Chawa mwandamizi lukasi mshambaUwe na adabu dogo
Mimi siyo chawaChawa mwandamizi lukasi mshamba
Chawa lukasi mshambaMimi siyo chawa
Hata mimi natamani sana kumuona huyu punga nimtandike makofi mawili na makonzi mawili akili zimkae sawa!Siku nitakayo onana na wewe ni lazima nitakutandika makofi
Mimi ni msema kweli.Mnaukata uchawa tena
😄
Ova
Ni watanzaniaJe hiyo hadhira ni wakina nani je unaweza ukawasafisha ubongo wao, (brainwash them)
Huwezi kufanikiwa, mimi huwezi kunisafisha ubongo, ( brainwash)Ni watanzania