Nitamtetea na kumsemea Rais Samia na Serikali ya CCM mpaka dakika ya mwisho bila kukatishwi tamaa kwa namna yoyote ile

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi nilishajitolea kwa dhati ya moyo wangu na kwa hiyari yangu pasipo kulipwa kama ambavyo wengine wanafikiria hivyo. Mimi nilishaamua kama mwana CCM kuwa sitakaa kimya wala kunyamaza wala kuona aibu wala kuogopa kumtetea Rais Wangu Mama Samia.

Nilishakataa kabisa kufumba kinywa changu na mdomo wangu napoona watu wanafanya upotoshaji na uchonganishi wa kumchonganisha Rais Samia na serikali yake pamoja na wananchi ili waichukie serikali yake. Nitaeleza na kuyaimba mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia na serikali yake ya CCM.

Nitawaelezea wananchi nini Mama amefanya katika Elimu,afya , Umeme, barabarani,ajira,kilimo, uwekezaji, utalii, democrasia,uhuru wa Vyombo vya habari,amani na mengine mengi. Naendelea kuwakumbusheni ni Rais Samia mama yetu mpendwa aliyeleta Elimu bure mpaka kidato cha sita,kutoa maelfu ya ajira kwa vijana,kuongeza bajeti ya kilimo kufikia Trilioni moja na pointi, kuwapandisha mishahara watumishi wa umma hasa wale wa kima cha chini kwa 23%,kupeleka umeme maeneo mbalimbali vijijini mpaka kwenye vitongoji.

Kutoa Ruzuku kwenye mbolea,kuruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na siasa za majukwaa,kujenga zahanati,vituo vya afya, hospitalini za wilaya,mikoa ,rufaa na kanda na kuweka vifaa tiba vya kisasa na bora pamoja na wataalamu wa kutosha. Ni Rais Samia ndiye aliyewafanya wakimbizi wa kisiasa kurejea Nchini.

ni Rais Samia ndiye aliwalipa CHADEMA ruzuku ya Billion 2.7 kwa mkupuo,ni Rais Samia ndiye ameleta nuru na matumaini kwa vijana wanaomaliza kidato cha sita kupata mikopo ya vyuo vikuu pamoja na ajira kwa wale wanaomaliza vyuo vikuu.hata kama hawaajiriwi wote lakini matumaini yanaonekana machoni pa vijana.

Ni Rais Samia aliyekamilisha ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere lenye kuzalisha megawati 2115 ambapo alilikuta likiwa 34% tu.ni Rais Samia aliyemaliza mgao wa umeme kihodari.ni Rais Samia aliyeleta maajabu na miujiza ya kuona Treni ya umeme ukitembea katika ardhi ya Tanzania,ni Rais Samia aliyefanya sasa tunapata watalii kama mafuriko takribani Millioni 1.8. ni Rais Samia aliyeifungua nchi hii na kupelekea wawekezaji kumiminika Nchini kama mchanga wa baharini.

Ni Rais Samia aliyeimarisha diplomasia mpaka Kamala Harris makamu wa Rais wa Marekani kuichagua Tanzania kati ya nchi chache alizozitembelea Afrika,ni Rais Samia aliyewainua wakulima wa Nchi hii na kuja na kauli mbiu ya kilimo ni biashara na hivyo kukipatia thamani kilimo.

Nani amefanya haya kama siyo Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan? Hapo ni kwa uchache maana sijazungumzia bado habari za kuboresha mazingira ya biashara hapa Nchini ,kujenga shule za msingi na sekondari,kumaliza changamoto ya madawati shuleni na mengine mengi sana.

Nitaendelea Kumsemea Rais Samia na serikali yake.hata nitukanwe matusi ya kila aina ,hata mtukane wazazi wangu lakini mimi nitaendelea kuusema ukweli tu. Nitafanya kazi hiyo kwa hiyari na kwa gharama zangu kama ambavyo nimekuwa nikifanya siku zote.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Muda wake ukiisha au akiangushwa 2025 kwa kura nyingi (kama tunavyotarajia) unabadili ID au siyo?
Tunatamba na Mama Hadi 2030. Mwakani tunatimiza tu wajibu wa uchaguzi. maana mpaka sasa Rais Wetu Mpendwa Mama Samia ni mshindi katika Mioyo ya mamilioni ya watanzania.
 
Hongera sana
Kanyaga kanyaga

Ila y bado unapenda kulalamika Lucas? Usiumie Moyo binadamu tuna views tofauti

U.meyamua ignore kitu kidogo hicho.. Sasa unawapa Kiki.. Kuwa mgumu wakiyasema pita kimya ka hujanoti ndio itawauma
 
Raisi haitaji kutetewa na wew kazi zake ndo zinatamtetea kama akiendelea kuboronga atatoka tu hata kesho , no body knows tommorow kesho yetu inasiri kubwa kuliko leo yetu......
... God bless tz.....
 
Anayo akili, Anavuta kwa Mama na anavutwa kwa Kafulila na Bashite, ni kazi, yuko kazini.
Ana bahati mbaya watz wa sasa siyo wale wa jana. Watu wamewachoka hata wao wanajua. Ndiyo maana mikutano yao mingi wananunua watu kwenda kuhudhuria ili ionekane kuwa wanapendwa.
 
Raisi haitaji kutetewa na wew kazi zake ndo zinatamtetea kama akiendelea kuboronga atatoka tu hata kesho , no body knows tommorow kesho yetu inasiri kubwa kuliko leo yetu......
... God bless tz.....
Kazi kubwa na njema alizozifanya Rais wetu mpendwa ndizo hizo nazozisema na ndio hata kwenye andiko langu nimezitaja japo kwa ufupi.
 
Ana bahati mbaya watz wa sasa siyo wale wa jana. Watu wamewachoka hata wao wanajua. Ndiyo maana mikutano yao mingi wananunua watu kwenda kuhudhuria ili ionekane kuwa wanapendwa.
Embu nenda ukawanunue na wewe mamilioni kama hawa.
Screenshot_20240928-224331_1.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi nilishajitolea kwa dhati ya moyo wangu na kwa hiyari yangu pasipo kulipwa kama ambavyo wengine wanafikiria hivyo. Mimi nilishaamua kama mwana CCM kuwa sitakaa kimya wala kunyamaza wala kuona aibu wala kuogopa kumtetea Rais Wangu Mama Samia.

Nilishakataa kabisa kufumba kinywa changu na mdomo wangu napoona watu wanafanya upotoshaji na uchonganishi wa kumchonganisha Rais Samia na serikali yake pamoja na wananchi ili waichukie serikali yake. Nitaeleza na kuyaimba mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia na serikali yake ya CCM.

Nitawaelezea wananchi nini Mama amefanya katika Elimu,afya , Umeme, barabarani,ajira,kilimo, uwekezaji, utalii, democrasia,uhuru wa Vyombo vya habari,amani na mengine mengi. Naendelea kuwakumbusheni ni Rais Samia mama yetu mpendwa aliyeleta Elimu bure mpaka kidato cha sita,kutoa maelfu ya ajira kwa vijana,kuongeza bajeti ya kilimo kufikia Trilioni moja na pointi, kuwapandisha mishahara watumishi wa umma hasa wale wa kima cha chini kwa 23%,kupeleka umeme maeneo mbalimbali vijijini mpaka kwenye vitongoji.

Kutoa Ruzuku kwenye mbolea,kuruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na siasa za majukwaa,kujenga zahanati,vituo vya afya, hospitalini za wilaya,mikoa ,rufaa na kanda na kuweka vifaa tiba vya kisasa na bora pamoja na wataalamu wa kutosha. Ni Rais Samia ndiye aliyewafanya wakimbizi wa kisiasa kurejea Nchini.

ni Rais Samia ndiye aliwalipa CHADEMA ruzuku ya Billion 2.7 kwa mkupuo,ni Rais Samia ndiye ameleta nuru na matumaini kwa vijana wanaomaliza kidato cha sita kupata mikopo ya vyuo vikuu pamoja na ajira kwa wale wanaomaliza vyuo vikuu.hata kama hawaajiriwi wote lakini matumaini yanaonekana machoni pa vijana.

Ni Rais Samia aliyekamilisha ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere lenye kuzalisha megawati 2115 ambapo alilikuta likiwa 34% tu.ni Rais Samia aliyemaliza mgao wa umeme kihodari.ni Rais Samia aliyeleta maajabu na miujiza ya kuona Treni ya umeme ukitembea katika ardhi ya Tanzania,ni Rais Samia aliyefanya sasa tunapata watalii kama mafuriko takribani Millioni 1.8. ni Rais Samia aliyeifungua nchi hii na kupelekea wawekezaji kumiminika Nchini kama mchanga wa baharini.

Ni Rais Samia aliyeimarisha diplomasia mpaka Kamala Harris makamu wa Rais wa Marekani kuichagua Tanzania kati ya nchi chache alizozitembelea Afrika,ni Rais Samia aliyewainua wakulima wa Nchi hii na kuja na kauli mbiu ya kilimo ni biashara na hivyo kukipatia thamani kilimo.

Nani amefanya haya kama siyo Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan? Hapo ni kwa uchache maana sijazungumzia bado habari za kuboresha mazingira ya biashara hapa Nchini ,kujenga shule za msingi na sekondari,kumaliza changamoto ya madawati shuleni na mengine mengi sana.

Nitaendelea Kumsemea Rais Samia na serikali yake.hata nitukanwe matusi ya kila aina ,hata mtukane wazazi wangu lakini mimi nitaendelea kuusema ukweli tu. Nitafanya kazi hiyo kwa hiyari na kwa gharama zangu kama ambavyo nimekuwa nikifanya siku zote.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Hata mimi nikiwa kwenye pay roll nitajitoa ufahamu hadi mishipa ya fahamu itanitoka, a.k.a kujizima data ama kuahirisha kufikiri kizalendo
 
Wengi wetu kama wewe lakini tutatatea maslahi ya nchi yetu Tanzania na sio viongozi. Tanzania kwanza
 
Back
Top Bottom