miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
mwombe namba ya simu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah wewe kweli ni ekyoma,nimekubali aminia.Duh bado zama izi kuna kutongoza ww mwambie una shida na kikojoleo chake basi
thenmwombe namba ya simu
muongee badaethen
Wewe ndo umemwambia ukweli.juc an advice,kama hauna something special kinachoweza kukutofautisha na wanaume wengine wa kawaida kama pesa etc..huwezi kumtongoza msichana kwa mara ya kwanza akakukubalia "labda awe kipori" lakini njia rahisi ya kumpata ni kutengeneza kwanza urafiki naye alafu mambo ya kutongozana baadae
Nitalifanyia kaziPole sana unafanya kazi? Una hela ? Nahisi kama una hela basi wewe bahili. Kama sio bahili fanya yafuatayo.
Dada mambo? Mm naitwa fulani sijui wewe waitwa nani? Basi naomba no yako nitakutafta. Akikupa ukifika home mpangie hewani sio unatuma mi sms utadhani ni notes za history. Kwenye maongezi mwembie unaomba mkanywe soda sehemu. Fanya haya urudi hapa kwa mrejesho toa utoto hapa
Lkn simaanishi nimpate siku hiyo hiyo!! Mie ila nataka kujua nifanyeje/nianzeje ili niweze kutongoza demu niliyemuona kwa mara ya kwanzajuc an advice,kama hauna something special kinachoweza kukutofautisha na wanaume wengine wa kawaida kama pesa etc..huwezi kumtongoza msichana kwa mara ya kwanza akakukubalia "labda awe kipori" lakini njia rahisi ya kumpata ni kutengeneza kwanza urafiki naye alafu mambo ya kutongozana baadae