Nitamtongozaje demu niliyemuona mara ya kwanza?

Nitamtongozaje demu niliyemuona mara ya kwanza?

Pole sana unafanya kazi? Una hela ? Nahisi kama una hela basi wewe bahili. Kama sio bahili fanya yafuatayo.

Dada mambo? Mm naitwa fulani sijui wewe waitwa nani? Basi naomba no yako nitakutafta. Akikupa ukifika home mpangie hewani sio unatuma mi sms utadhani ni notes za history. Kwenye maongezi mwembie unaomba mkanywe soda sehemu. Fanya haya urudi hapa kwa mrejesho toa utoto hapa
Unamuomba namba na kumwambia utamtafuta, akikuuliza nini shida utamjibu nini? Ukimuambia mtoke mkanywe soda akakuambia yeye tayari amekunywa utamuambia nini? Watu wako tofauti sana.
 
Hivi demu kama hana simu anatongozwaje?

Na mbona wengi mnakimbilia kwenye kuomba namba ya simu, nataka kujua jinsi ya kumtongoza demu mpya face to face jamani
 
Inategemea na ulipomuona au kumkuta kwa hiyo mara ya kwanza...
 
Joe-Biden-Laughing-Shaking-his-Head.gif
 
Back
Top Bottom