Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Unamuomba namba na kumwambia utamtafuta, akikuuliza nini shida utamjibu nini? Ukimuambia mtoke mkanywe soda akakuambia yeye tayari amekunywa utamuambia nini? Watu wako tofauti sana.Pole sana unafanya kazi? Una hela ? Nahisi kama una hela basi wewe bahili. Kama sio bahili fanya yafuatayo.
Dada mambo? Mm naitwa fulani sijui wewe waitwa nani? Basi naomba no yako nitakutafta. Akikupa ukifika home mpangie hewani sio unatuma mi sms utadhani ni notes za history. Kwenye maongezi mwembie unaomba mkanywe soda sehemu. Fanya haya urudi hapa kwa mrejesho toa utoto hapa