Nitamtongozaje demu niliyemuona mara ya kwanza?

Unaishi dunia ya wapi hadi leo hujui mbinu za kumpata mwanamke unayemtaka?
 
Vuta wallet changanya hela na.makaratasi akiiona tu wako
 
mnyanganye. simu yake ukimbilie kichakana akija tu. maliza mambo atakua wako tayari au mwambie ww n yatima huna hela akuhurumie
 
Wewe ndo umemwambia ukweli.
Take it.
 
nashindwa hata nisemeje mana mi mgeni humu ila ukimuona we aguka chini ujifanye mashetani yamekupanda..akija kukusaidia we anza kutililika tongozo la maana kishetani shetani
 
wewe:dada mambo
yeye😛oah
wewe:kwenu kuna mbwa..?
yeye:yupo
wewe:anang'ata..?
yeye:ndio
wewe:dada nimependa sauti yako sijui unaitwa nani vile..?
yeye:mang'oma
wewe😱kay, nimefurah kuku fahamu.na we unajtambulisha unamuulza anakaa wap,unaomba no yake ya xm u unaenda kufanya manuva...
 
Nitalifanyia kazi
 
Lkn simaanishi nimpate siku hiyo hiyo!! Mie ila nataka kujua nifanyeje/nianzeje ili niweze kutongoza demu niliyemuona kwa mara ya kwanza
 
Unadindisha mtanange alafu unaanza kuunyanyua juu na kuushusha yaani suruali yako maeneo ya zip yaonekane yanapanda na kushuka kisha mwambie hivi "hii kitu inakuwaza wewe". Mwambie hivyo huku ukimuonesha mtanange ulivyochachamaa.
 
Hivi kumbe kutongoza ni kazi kweli kweli, nimejaribu daaah ni hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…