Nitamtongozaje demu niliyemuona mara ya kwanza?

Unamuomba namba na kumwambia utamtafuta, akikuuliza nini shida utamjibu nini? Ukimuambia mtoke mkanywe soda akakuambia yeye tayari amekunywa utamuambia nini? Watu wako tofauti sana.
 
Hivi demu kama hana simu anatongozwaje?

Na mbona wengi mnakimbilia kwenye kuomba namba ya simu, nataka kujua jinsi ya kumtongoza demu mpya face to face jamani
 
Inategemea na ulipomuona au kumkuta kwa hiyo mara ya kwanza...
 
mwambie samahani tunaweza kwenda kuongea pale chini ya mti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…