Mzee wa kurekebisha
Senior Member
- Sep 29, 2012
- 178
- 169
Ninampa kila anachojitaji, tunakubaliana kukutana lakini.hafanyi hivyo, mbaya zaidi ananiongopea, sio hivyo sijawahi kuonja hata siku moja.... sasa ananifanyia visa ananitumia picha za mpenzi wake kwa hili nitamuua kwa mkono wangu.
Dada zangu chonde muache kulaghai wanaume, maana huyu mtu nilikuwa nyuma yake anaongea na simu usiku huu.Kwa mujibu wa baadi ya vipande ambavyo sijaweka hapa inaonesha huyo dada ni mwanachuo.
Kumbe hata humfahamu vizuri........khaaaaaa!!!!.......
Aisayee kufilisiwa simchezo....Stress zishaanza !! bora ulvomwambia !!!Mh pole utoe uhai wamtu kiss mapenzi!
Duuh murder case hiyo!Kuna dada mmoja ulikuwa ndio mtindo wake wakati tuko chuo siku moja akatekwa na watu si chini ya sita akabakwa na kulawitiwa huku akisindikiziwa ujumbe arudie tena kuibia wanaume.
Ninampa kila anachojitaji, tunakubaliana kukutana lakini.hafanyi hivyo, mbaya zaidi ananiongopea, sio hivyo sijawahi kuonja hata siku moja.... sasa ananifanyia visa ananitumia picha za mpenzi wake kwa hili nitamuua kwa mkono wangu.
Dada zangu chonde muache kulaghai wanaume, maana huyu mtu nilikuwa nyuma yake anaongea na simu usiku huu.Kwa mujibu wa baadi ya vipande ambavyo sijaweka hapa inaonesha huyo dada ni mwanachuo.
Mtu humjui vizuri halafu unamgharamia????
ulikuwa chuma yake anaongea na simu usiku huu????
dating online hiziiiiiii, ni sheeeedah
Tulia achana na vihela vya batook ulivyompa, visahau tu, habari ya kutoana roho jela itakuhusu.