Nitamuua huyu mwanamke kwa mkono wangu

Nitamuua huyu mwanamke kwa mkono wangu

Mtu humjui vizuri halafu unamgharamia????
ulikuwa nyuma yake anaongea na simu usiku huu????
dating online hiziiiiiii, ni sheeeedah
Tulia achana na vihela vya batook ulivyompa, visahau tu, habari ya kutoana roho jela itakuhusu.

Mjukuu kumbe unashauri vyema..!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ninampa kila anachojitaji, tunakubaliana kukutana lakini.hafanyi hivyo, mbaya zaidi ananiongopea, sio hivyo sijawahi kuonja hata siku moja.... sasa ananifanyia visa ananitumia picha za mpenzi wake kwa hili nitamuua kwa mkono wangu.

Dada zangu chonde muache kulaghai wanaume, maana huyu mtu nilikuwa nyuma yake anaongea na simu usiku huu.Kwa mujibu wa baadi ya vipande ambavyo sijaweka hapa inaonesha huyo dada ni mwanachuo.
Usipoteze nguvu nyingi kwa huyo hakupendi, au yupo after money, akiona zaidi denda linamshuka, hivyo we atakuzuga tu
 
Yaan sijui mm ndo sjaelewa maana naona watu wanaenda OP, suala ni ushaur kwa kina dada, jamaa sio kwamba anataka kuua ila kasikia mtu akisema atauwa ndo kaamua kuwashaur akina dada, yeye ka quote maneno ya muuaji mtarajiwa
 
Humu mbona mnamhukumu mzee wa kurekebisha!!?? Mmesoma mkamuelewa au ndio mambo ya kudandia gari kwa mbele!?
 
tafuta mwingine mzuri zaidi panda dau .kisha umwoneshe aumie halafu mpe talaka huyo n
 
Nauza majeneza bei poa tu,muue haraka iwezekanavyo ,jeneza tunakuletea popote ulipo
 
Ye mwenyew amesikia mtu akiongea kweny simu, ndo anasema hayo maneno kwa mdada. Sio yeye muuaji 🙂
 
Watu hawajaelewa....huyu mtoa mada alimsikia mtu anaongea haya maneno
 
usichange mawazo yako feki,jela yako mkuu,there are lot of girls,tafuta usiwe domo zege.
 
Back
Top Bottom