Nitamuua huyu mwanamke kwa mkono wangu

Nitamuua huyu mwanamke kwa mkono wangu

Yaan sijui mm ndo sjaelewa maana naona watu wanaenda OP, suala ni ushaur kwa kina dada, jamaa sio kwamba anataka kuua ila kasijkia mtu akisema atauwa ndo kaamua kuwashaur akina dada, yeye ka quote maneno ya muuaji mtarajiwa
ww umeelewa sana mkuu.na ndio jamaa alichomaanisha kuwa kackia mtu akiongea.yy katoa ishauri tu.
 
Mapenz Yatawatesa Sana Kwann Mstake Mapenz Ya Mungu Ya Timie Muda Ukfka Utampata Uliendaliwa Na Mola Wako.Uta Uwa Wangap Sasa Kwan Ndo Tabia Za Ma Dem Mwisho Wasku Utajiuwa Mwenyewe Tu Watch Out
 
Watanzani bwana! Hamjasoma vizuri nakuielewa mada mnaanza kutokwa povu
Halaf ukute umelizwa kalaki kamoja tu, unatamba hapa ati unampa kila kitu. Waapi. Ingekuwa hivyo hapa pasingeli kalika. Tulia Bro, ukiisha jiunga na kundi hili la kutafuta totos hayo mbona ni kawa tu. Mvizie, mpokonye pichu yake, tishia kuipeleka kwenye hall la chakula, uitundike pale mlangoni. Enzi zetu alikuwepo mzee "Punch" nasikia siku hizi kazikwa na akina Mwingulu. Ungempelekea mashitaka, sisi humu jf hatuna uwezo naye
 
Acha utani laki moja ndio unaita kalaki?
 
Wewe kutongoza hujui, halafu uue kwa nini? Ulimuumba wewe? Utagharamiaje kitu hata hukijui wala kuonja hata siku moja. Hili ndio tatizo la madomo zege, hutanguliza hela nyiingi bila kuongea chochote. Naombea atokee na mwingine tena akufanye hivyohovyo ili ujifunze kutongoza
 
Mwanamke akikufanyia hivyo kashakuona boya. Hawa wanalika hata kwa mkopo wee unastruggle hivyo? aache uboya
 
Mimi ndio sijaelewa au watu wengi hawajaelewa... Nimeelewa kuna Mwanaume ulimsikia akimsemesha mtu kwenye simu kuhusu huyo mwanamke anayemlia vyake. Si ndio?
 
Ninampa kila anachojitaji, tunakubaliana kukutana lakini hafanyi hivyo, mbaya zaidi ananiongopea, sio hivyo sijawahi kuonja hata siku moja sasa ananifanyia visa ananitumia Picha za mpenzi wake kwa hili nitamuua kwa mkono wangu.

Dada zangu chonde muache kulaghai wanaume, maana huyu mtu nilikuwa nyuma yake anaongea na simu usiku huu.Kwa mujibu wa baadi ya vipande ambavyo sijaweka hapa inaonesha huyo dada ni mwanachuo.

Kwani alikulazimisha uumpe hivyo vyote ulivyo mpa au?
Kama alikuomba kwa miadi ya kukulipa kukupa papuchi ni sawa na kama sivyo jitahidi tu kutumia mbinu nyingine ule papuchi na kumtema.
Ila hakikisha kama utafanikiwa kupewa papuchi uitendee HAKI usije kuwa ni wale vijana aina ya BATA, nadhani unanipata man.
 
Pole mkuu huyo mwanamke ni tapeli achana naye usije fungwa bure
 
Mimi ndio sijaelewa au watu wengi hawajaelewa... Nimeelewa kuna Mwanaume ulimsikia akimsemesha mtu kwenye simu kuhusu huyo mwanamke anayemlia vyake. Si ndio?
Ndio hivyo mkuu, nashangaa watu wamenishupalia kana kwamba mimi ndio muuaji mwenyewe na hili si hadithi ndio maana nimekaa kimya tu.
 
Itakuwa mlikutanaia kwenye facebook au Instagram ndiyo maana haoni umuhimu wako kwa sababu mpo wengi.
 
Anaempa pumzi anayovuta sijui asemeje! ulimpa kila kitu? jamani maskhara hayo. japo kuhonga ni kuhonga hata voucher lakini lugha imetumika ni ghali sana.
 
Back
Top Bottom