Nitamuua huyu mwanamke kwa mkono wangu

Nitamuua huyu mwanamke kwa mkono wangu

Ninampa kila anachojitaji, tunakubaliana kukutana lakini.hafanyi hivyo, mbaya zaidi ananiongopea, sio hivyo sijawahi kuonja hata siku moja.... sasa ananifanyia visa ananitumia picha za mpenzi wake kwa hili nitamuua kwa mkono wangu.

Dada zangu chonde muache kulaghai wanaume, maana huyu mtu nilikuwa nyuma yake anaongea na simu usiku huu.Kwa mujibu wa baadi ya vipande ambavyo sijaweka hapa inaonesha huyo dada ni mwanachuo.

Tatizo ndugu yangu unaonesha una shida moja tu....na usivyofikiria unahisi kumpa kila kitu anachotaka ndio njia...Well yupo chuo,huyo ni msomi na huenda kuna wengine wanampa zaidi yako...ushukuru Manake inaonesha jinsi gani ambavyo anaweza kula vyako na kuendelea kuwa muaminifu na mapenzi wake....em tafuta mtu mwingine,mwache aende zake,kama kakupenda she will let you know,otherwise kutoa sio lazima upokee.
 
Ua tu mkuu pengine huu upuuzi utaisha mwenzionilitoa mahali mke akakabidhiwa njemba kutoka Mbeya inaniuma sana we anza nami niko nyuma yako.
 
Yaani me nimeishia kucheka tu!! Wadau wa jf na nyie coments zenu kiboko
 
Mpwa nakuomba sana sana kuwa mpole, huyo binti kama jina lake linaanza na W ndio tabia yake japo ana jina lingine pia. Achana nae please watakuletea matatizo tu badala ya kulipa kisasi

mpwa yamewahi kukukuta nn?
 
Tupeane basi dili za ku-supply jeneza once ukishamrestisha huyo kiumbe...
 
Watoto wa chuo ndo zao ao enzi zangu nipo chuo nilikuwa nadili na watoto wa kitaa a.k.a mechi za ugaibuni mambo ya kupigana kalenda cpendi kabsaa
 
Wanaume saidieni mwanaume mwenzenu.
Hajui kama mapenzi kamari.
 
Unaanza kuhudumia kabla ya kula.!!
 
Naona mnarithi roho ya Mushi wa Ufoo Saro.

Usiuwe kwa ajili ya mapenzi bana. Kama anasumbua sasa hivi, mpe muda atakuja mwenyewe. Just endelea kuwa nae karibu. Hapo ni km unahitaji tu starehe naye. Anza na wengine baadae huyo utampata tu.
 
Back
Top Bottom