Nitapata kazi mwezi huu

Nitapata kazi mwezi huu

Ubaya ni kuwa huyo roho kakujulisha wewe ....kabla hata hayajawa umeshakuja kuyaropoka huku....umeambiwa huyo Yesu na roho wake wapo humu...yaani hata kuvumilia jambo dogo kama hilo umeshindwa utaweza kutunza siri za ofisi kweli!? Una kifua kweli ? Haya je yasipokuwa sababu ya umbea wako utasema alikuwa roho mchafu au hukusikiliza vizuri....mambo yako yafanye yako ....ukiambiwa ya kuwambia ndio uwaambie...ila hujaambiwa wambie basi funga hilo paza sauti lako.
 
Mungu wetu hana roho mbaya kama yako, Soma Zaburi ya 124:1-2
 
Roho mtakatifu amenijulisha kuwa kabla ya kuisha kwa mwezi huu nitapata kazi nzuri katika taasisi nzuri, itakuwa na mshahara na marupurupu mazuri, na nitafanikiwa kimaisha na kiujuzi.

Asante Yesu.
Napokea kadiri ya imani yangu kwa jina la Yesu.
Bwana na akupe haja ya moyo wako
 
Roho mtakatifu amenijulisha kuwa kabla ya kuisha kwa mwezi huu nitapata kazi nzuri katika taasisi nzuri, itakuwa na mshahara na marupurupu mazuri, na nitafanikiwa kimaisha na kiujuzi.

Asante Yesu.
Napokea kadiri ya imani yangu kwa jina la Yesu.
All the best.
 
Amekujulishaje kwa mfano?
Kakuotesha au kakutokea live akakuambia?
 
Roho mtakatifu amenijulisha kuwa kabla ya kuisha kwa mwezi huu nitapata kazi nzuri katika taasisi nzuri, itakuwa na mshahara na marupurupu mazuri, na nitafanikiwa kimaisha na kiujuzi.

Asante Yesu.
Napokea kadiri ya imani yangu kwa jina la Yesu.
Anen
 
Au jana ulikuwa Ngomeni?
 
Back
Top Bottom