Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na iwe kama ulivyonenaRoho mtakatifu amenijulisha kuwa kabla ya kuisha kwa mwezi huu nitapata kazi nzuri katika taasisi nzuri, itakuwa na mshahara na marupurupu mazuri, na nitafanikiwa kimaisha na kiujuzi.
Asante Yesu.
Napokea kadiri ya imani yangu kwa jina la Yesu.
Mungu wetu hana roho mbaya kama yako, Soma Zaburi ya 124:1-2Ubaya ni kuwa huyo roho kakujulisha wewe ....kabla hata hayajawa umeshakuja kuyaropoka huku....umeambiwa huyo Yesu na roho wake wapo humu...yaani hata kuvumilia jambo dogo kama hilo umeshindwa utaweza kutunza siri za ofisi kweli!? Una kifua kweli ? Haya je yasipokuwa sababu ya umbea wako utasema alikuwa roho mchafu au hukusikiliza vizuri....mambo yako yafanye yako ....ukiambiwa ya kuwambia ndio uwaambie...ila hujaambiwa wambie basi funga hilo paza sauti lako.
Duwa tuKupata kazi nako kazi
Bwana na akupe haja ya moyo wakoRoho mtakatifu amenijulisha kuwa kabla ya kuisha kwa mwezi huu nitapata kazi nzuri katika taasisi nzuri, itakuwa na mshahara na marupurupu mazuri, na nitafanikiwa kimaisha na kiujuzi.
Asante Yesu.
Napokea kadiri ya imani yangu kwa jina la Yesu.
All the best.Roho mtakatifu amenijulisha kuwa kabla ya kuisha kwa mwezi huu nitapata kazi nzuri katika taasisi nzuri, itakuwa na mshahara na marupurupu mazuri, na nitafanikiwa kimaisha na kiujuzi.
Asante Yesu.
Napokea kadiri ya imani yangu kwa jina la Yesu.
AnenRoho mtakatifu amenijulisha kuwa kabla ya kuisha kwa mwezi huu nitapata kazi nzuri katika taasisi nzuri, itakuwa na mshahara na marupurupu mazuri, na nitafanikiwa kimaisha na kiujuzi.
Asante Yesu.
Napokea kadiri ya imani yangu kwa jina la Yesu.
Au jana ulikuwa Ngomeni?Roho mtakatifu amenijulisha kuwa kabla ya kuisha kwa mwezi huu nitapata kazi nzuri katika taasisi nzuri, itakuwa na mshahara na marupurupu mazuri, na nitafanikiwa kimaisha na kiujuzi.
Asante Yesu.
Napokea kadiri ya imani yangu kwa jina la Yesu.