yope
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 364
- 689
Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale, na pia poleni sana na mapambano ya covid19.
Bila kuwapotezea muda, nina nyumba yangu nataka niuze ipo kwenye kiwanja kikubwa na nyumba yenyewe ni ya kawaida tu, sasa kuna mdau mmoja akanishauri kama nataka pesa nzuri nisiuze kwa mtu bali niende benki nichukue mkopo watanipa pesa nzuri then niwe kama vile ndo nimeiuza baada ya kuchukua huo mkopo.
Swali langu kwenu, Je ni kweli unaweza kuchukua mkopo benk na kuweka dhamana ya nyumba? Je mkopo huo unaweza kuwa na maximum ya sh. ngapi? Kipi ni bora kati ya kuuza nyumba na kuichukulia mkopo? Na masharti ya kuchukua mkopo benki yapoje?
Sent using Jamii Forums mobile app