Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Medellin siku hizi kuna peace mkuu sio kama miaka ile,ni mji mmoja mzuri sana,i was there.Medellin, huu mji ukifuatilia unaonekana una watemi sana...nimetazama baadhi ya reality shows na documentaries zinaonesha kitaa kuna watu wamepinda...
kupiga mzingo inakuwaje hao wenye mashape au hadi uwanunueWote wako hivyo, wale sio wazungu kama wa Ulaya na Marekani ni kama mixa hivi, maana wana mashepu balaa, ila ni walevi mno
ukitaka kurudi nistue twende woteKwenye Serikali ya Jakaya Kikwete nilitembea sana na nikafika nchi niliyokuwa na hamu nayo sana kufika ili nijionee ukweli wa hali halisi, Colombia.
Nilifika Bogota nilikaa siku 14 baadae nikaenda miji ya Cartagena na Medellin, aisee zile muvi za kihuni za Marekani nilifikiri ni uongo, kumbe ndio maisha halisi ya miji ya Colombia.
Ila kuna wanawake wazuri sana aisee kule Latin America, unakuta mzungu ana matako kama mwafrika acha acha kabisa.
Brazil wahuni ni wengi mno, ukiongea english ni kama unajichongea wanajua unatoka Marekani utaandamwa na kuviziwa kila mahali.
Ila kule Marekani ni kama bwana wao, hawajui chochote zaidi ya Marekani magari yao mengi yanatoka Marekani, unapishana na gari kumi unaona toyota moja.
Nilichokipenda ni starehe, kama unapenda mademu kula unakufa haraka sana, ni wazuri, wazuri, wazuri mno.
Nitarudi tena Bogota
Nchi za Latin America unatakiwa utembee na mwenyeji kwa usalama wako,ukiwa na mwenyeji hata ule mji wa wababe wa Brazil kama Cantagalo Favela utavisit.Kaka sio propanganda, wenyeji wetu walituambia kabisa sehemu ya kwenda na sehemu ambayo htutakiwi kwenda. Kule kuna wahuni kwelikweli. Ila wanaiabudu sana Marekani
Medellin siku hizi kuna peace mkuu sio kama miaka ile,ni mji mmoja mzuri sana,i was there.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Duu ukiwa unaenda unishtue Mana Shakira alitaka kunifanya nijifunze Spanish ujue kwa influence take tu
Wanapenda pesa kama wa huku au kawaida,Kwenye Serikali ya Jakaya Kikwete nilitembea sana na nikafika nchi niliyokuwa na hamu nayo sana kufika ili nijionee ukweli wa hali halisi, Colombia.
Nilifika Bogota nilikaa siku 14 baadae nikaenda miji ya Cartagena na Medellin, aisee zile muvi za kihuni za Marekani nilifikiri ni uongo, kumbe ndio maisha halisi ya miji ya Colombia.
Ila kuna wanawake wazuri sana aisee kule Latin America, unakuta mzungu ana matako kama mwafrika acha acha kabisa.
Brazil wahuni ni wengi mno, ukiongea english ni kama unajichongea wanajua unatoka Marekani utaandamwa na kuviziwa kila mahali.
Ila kule Marekani ni kama bwana wao, hawajui chochote zaidi ya Marekani magari yao mengi yanatoka Marekani, unapishana na gari kumi unaona toyota moja.
Nilichokipenda ni starehe, kama unapenda mademu kula unakufa haraka sana, ni wazuri, wazuri, wazuri mno.
Nitarudi tena Bogota
Jamani naombeni kujua lifestyle la Jamaica,kuanzia shuleni(hv hawa majamaa huko wakogo busy na shule kweli),
mtaani wanavyoishi(kama minyanduo ya kimasihara,singo maza,vibinti under 18 vinavyoishi),
Polisi na raia na uharifu kwa ujum
Wanawake wote duniani kipaumbele ni fedha. Kule ukitaka mwamamke fedha mbele, lakini uzuri wao ni kwamba utaenjoy na hawaongopi na usiwaongopeeWanapenda pesa kama wa huku au kawaida,
akili huna weweeerMipango yangu kabla sijafa kula watoto wa caribbean, Brazil ama Columbia.
Baada ya hapo hata nikifa nakua nimekufa with dignity.
Pisi za Latin America ni kali sanaKatI ya Colombia ladies vs Ukraine ladies wapi kuna warembo wazuri mtaalam
DahAliyefika West Africa. Je Kuna Nchi imeendelea kuliko Tanzania
Kweli tembea uone, na ujifunze pia.Kule Colombia umasikini ni mwingi mno, ndo maana akili yao wote ni kuzamia Marekani. Lakini miji yao imejengeka sana tofauti na huku Bongo. Kaka ukifika Bogota jifanye huuji english ukiongea tu wanazani wewe ni wa Marekani, utaandamwa balaa. Rio de jainero (mto wa Januari) pale sio tu wahuni bali ni wahuni kwelikweli, huku Bongo vijana wanaotembeza bidhaa barabani kwenye magari kule ni wengi mno, ila ukifungua kioo imekula kwako wanakupora chochote na polisi hata hawajali