Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Inasikitisha sanaHawa CCM wanahangaika kujinasua ila ndio wanazidi kunasa,kwanini wasisubiri kuona uchaguzi utakavyozuiliwa?si walisema hakuna wa kuzuia uchaguzi?
Kama ni kweli Chadema wanapanga kuleta Ebola kwanini hawakamatwi badala yake anaongea mtu jukwaani?
Wasitufanye sisi wajinga.
Taahira hana umri.Habari zinazosambaa mitandaoni zinatisha. Kama ni za kweli au la hilo tuliache kwa vyombo vyenye mamlaka.
Imefika mahali Watu wanashirikiana na watu wasiolitakia mema Tanzania kutia hofu, kuleta taharuki na vurugu. Hii yoote ni kwa sababu gani?
Kwanini chama cha siasa kisitumie mbinu zake za kisiasa kushawishi watu badala ya kutisha na kuleta uchochezi? Huu Uchochezi ni wakawaida? Je kuna kitu kinaandaliwa ili baadae waje waseme, Tulisema hayo sasa yametokea!
Watu wanatunga uongo, wanatisha Wananchi, wanachochea vurugu na uhasama. Tatizo ni nini lakini?
Kuna mahali nimeona Mheshimiwa mmoja wa chama fulani anahutubia kwamba Chadema wana mpango wa kuingiza Bio Weapons kama Ebola na Mpox. Hehehe😅😅😅
Hivi Mheshimiwa anajua athari zinazoweza kutokana na Kauli zake? Kama sio yeye aka ametengenezewa clip na postures za uongo basi ni vema ajitokeze kukanusha na kujisafisha. Mimi bado si amini kama ni yeye anaweza kufanya jambo hili. Naamini anajua madhara ya kauli zake kiuchumi na kiusalama pia.
Juzi tu tumearifiwa na Ubalozi wa Marekani kuwa na tishio la shambulio la kigaidi linaweza kutokea Mkoa wa Pwani, japo vyombo vyetu viko bize kuhakikisha Jambo hilo linadhibitiwa naona kauli kama hizi kuanza kujitokeza kipindi hiki kama kudivert attention ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Ni bora vikamuita na kumhoji na kumchukulia hatua za kisheria.
Kundi hilo hilo la kina Fidodido limekuja na Audio Clip na kuisambaza mitandaoni wakidai ni Mh Sugu anatafuta vijana 200- 300 wa kufanya vurugu Mkoani Mbeya. Ni hatari sana.
Jambo Moja la kuwakumbusha ni kuwa Unabii Umeshasema kila watakapo jaribu Kuzuia basi watakikuta wanaharibu zaidi.
Inawezekana ndio yanatimia?? Hii panic inatokana na nini? I don't see the need to jeorpadize our harmony for sake of their interest.
Vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama vimehakikisha amani inadumu Tanzania wakati wote. Tuna imani na nyie wazee.
Ni hayo kumbe?Huyo unayetaka ahojiwe ndio anayevihoji hivyo vyombo kwanini havimsaidii kutunga uongo mwingi zaidi kuliko huo?
Haifahamiki wana lengo Gani na Tanzania yetuItakuwa kile chama cha wale
Usiseme hivyo ndugu wao wamebeba Dira na Hatima ya Nchi yetu. TuwaombeeCcm ni mataahira.
Dira ndio hiyo kutunga uongo wa kijinga kama huo?? Hiyo ni dira na maono ya kutupeleka wapi?Usiseme hivyo ndugu wao wamebeba Dira na Hatima ya Nchi yetu. Tuwaombee
Yaani waombewe majizi ya kuraUsiseme hivyo ndugu wao wamebeba Dira na Hatima ya Nchi yetu. Tuwaombee
Inasikitisha sanaDira ndio hiyo kutunga uongo wa kijinga kama huo?? Hiyo ni dira na maono ya kutupeleka wapi?
Alafu watu wasichokijua ni kuwa kwa maneno na uongo wa dizaini hizi ndio hawa wanaoipeleka nchi kwenye machafuko na wala sio wapinzani
Waombewe wapate Neema ya Ukombozi waachane na mambo maovuYaani waombewe majizi ya kura
Wenye nchi wanaposema nani atawakemea, sana mtuhumiwa atatishiwa kufungiwa kufanya siasa.Habari zinazosambaa mitandaoni zinatisha. Kama ni za kweli au la hilo tuliache kwa vyombo vyenye mamlaka.
Imefika mahali Watu wanashirikiana na watu wasiolitakia mema Tanzania kutia hofu, kuleta taharuki na vurugu. Hii yoote ni kwa sababu gani?
Kwanini chama cha siasa kisitumie mbinu zake za kisiasa kushawishi watu badala ya kutisha na kuleta uchochezi? Huu Uchochezi ni wakawaida? Je kuna kitu kinaandaliwa ili baadae waje waseme, Tulisema hayo sasa yametokea!
Watu wanatunga uongo, wanatisha Wananchi, wanachochea vurugu na uhasama. Tatizo ni nini lakini?
Kuna mahali nimeona Mheshimiwa mmoja wa chama fulani anahutubia kwamba Chadema wana mpango wa kuingiza Bio Weapons kama Ebola na Mpox. Hehehe😅😅😅
Hivi Mheshimiwa anajua athari zinazoweza kutokana na Kauli zake? Kama sio yeye aka ametengenezewa clip na postures za uongo basi ni vema ajitokeze kukanusha na kujisafisha. Mimi bado si amini kama ni yeye anaweza kufanya jambo hili. Naamini anajua madhara ya kauli zake kiuchumi na kiusalama pia.
Juzi tu tumearifiwa na Ubalozi wa Marekani kuwa na tishio la shambulio la kigaidi linaweza kutokea Mkoa wa Pwani, japo vyombo vyetu viko bize kuhakikisha Jambo hilo linadhibitiwa naona kauli kama hizi kuanza kujitokeza kipindi hiki kama kudivert attention ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Ni bora vikamuita na kumhoji na kumchukulia hatua za kisheria.
Kundi hilo hilo la kina Fidodido limekuja na Audio Clip na kuisambaza mitandaoni wakidai ni Mh Sugu anatafuta vijana 200- 300 wa kufanya vurugu Mkoani Mbeya. Ni hatari sana.
Jambo Moja la kuwakumbusha ni kuwa Unabii Umeshasema kila watakapo jaribu Kuzuia basi watakikuta wanaharibu zaidi.
Inawezekana ndio yanatimia?? Hii panic inatokana na nini? I don't see the need to jeorpadize our harmony for sake of their interest.
Vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama vimehakikisha amani inadumu Tanzania wakati wote. Tuna imani na nyie wazee.
Siasa zile za kina Intarahamwe hatuzitaki sisi Watanzania tuna penda amani.Wenye nchi wanaposema nani atawakemea, sana mtuhumiwa atatishiwa kufungiwa kufanya siasa.
😅😅😅masiharaJamani hivyo virus vinauzwa wapi nataka ninunue vya jero
Mie sio CCM lkn kusema za ukweli hakuna mwanasiasa alie mkweli. Wote wachumia tumbo. Ila km hujaingia kwenye huo mfumo huwezi kuelewa.Dira ndio hiyo kutunga uongo wa kijinga kama huo?? Hiyo ni dira na maono ya kutupeleka wapi?
Alafu watu wasichokijua ni kuwa kwa maneno na uongo wa dizaini hizi ndio hawa wanaoipeleka nchi kwenye machafuko na wala sio wapinzani
Maoni yako kuhusu Mada?Mie sio CCM lkn kusema za ukweli hakuna mwanasiasa alie mkweli. Wote wachumia tumbo. Ila km hujaingia kwenye huo mfumo huwezi kuelewa.