PreGE2025 Nitashangaa ikiwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vitaliacha hili jambo lipite bila kuchukua hatua. Tunakoelekea sio kuzuri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CCM hasa viongozi wamepani sana coz walipewa maagizo wakakaidi!
Waliambiwa katiba iandikwe kwanza ndio uchaguzi ufate yaani "uchaguzi wa serikali za mitaa usubiri Hadi katiba mpya" tukashinda Kwa kishindo Kwa katiba iliyopo!

Sasa IPO hivi "no reform no election"ikifanikiwa kivyovyote vile ni rasmi jeshi ndilo litashika hatamu coz ukomo wa serikali ni mwisho oktoba 2025!Ina maana ccm tutapoteza madaraka kwenda kwa jeshi!na hapo jeshi ndio litaamua nani apewe madaraka na Kwa taratibu zipi hasa!coz ccm tumekaidi maagizo ndio tukayapoteza madaraka ndio maana kauli mbiu hii inaumiza vichwa makada wenzangu wa chama chetu!!

"Kama mhusika hatoanza mchakato (was kuandika katiba mpya) Hadi mwakani itakua too late kwake"

Ndio maana makada wanajua fika kauli ya Lisu ya no reform no election sio ya Lisu ni wenye Dola kupitia chadema ni kama kauli ya "katiba mpya " so ya chadema Bali ya wenye dola ndio wanataka katiba mpya kupitia upinzani kwasababu Chaka tawala kimelewa madaraka!!

No dhahiri makada wanajua kaulimbiu hiyo Ina madhara kiasi Gani kwa chama tawala ambayo ni chama tawala kupoteza Dola kizembe bila uchaguzi kufanyika!!

MAKADA WENZANGU WAMETUFIKISHA PABAYA SANA!NA HATUNA NAMNA ZAIDI YA KUSUBIRI KAMA UCHAGUZI UTAFANYIKA AU LAH!NA KAMA HAUTAFANYIKA KWA WAKATI NI RASMI DOLA ITACHUKULIWA NA JESHI COZ YA UKOMO WA CCM KUSHIKA HATAM UTAKUA UMEFIKA RASMI BAADA YA OCTOBER 2025!
Ngoja tuone
 
Hawa CCM wanahangaika kujinasua ila ndio wanazidi kunasa,kwanini wasisubiri kuona uchaguzi utakavyozuiliwa?si walisema hakuna wa kuzuia uchaguzi?
Kama ni kweli Chadema wanapanga kuleta Ebola kwanini hawakamatwi badala yake anaongea mtu jukwaani?

Wasitufanye sisi wajinga.
Huenda wameshaona wabongo wote ni ndezi tu.
 
Makala kaishiwa hoja na CCM yake , huwezi simama mbele ya wananchi badala ya kueleza sera zako wewe unaleta uchochezi.

Mamlaka zilipaswa zimuhoji kwa huu uchochezi,alafu propaganda hizi ni za kitoto kwa chama kama CCM.

Zinazidi kuwapunguzia ushawishi kwenye jamii, ukisoma taarifa za mikutano yao muda mwingi wanaongelea Chadema.

Hapa ndiyo utaona wamekosa maono siyo Mwenezi wala Makamu mwenyekiti Bara wote Bogus.
 
Kuna mtu hapa kaziita Gutter Politics
 
Hatari sana, na kesho ataleta uongozi mwingine na bado tutamuangalia kwasababu yuko upande usioguswa.

Kitakachofuata jamaa atafanyiwa cover up haraka na kuonekana ni issue ya kawaida sana. Binafsi Kuna watu wajinga wajinga huwa naishia kuwadharau sana.
 
Habari zinazosambaa mitandaoni zinatisha. Kama ni za kweli au la hilo tuliache kwa vyombo vyenye mamlaka.

Imefika mahali Watu wanashirikiana na watu wasiolitakia mema Tanzania kutia hofu, kuleta taharuki na vurugu. Hii yoote ni kwa sababu gani?

Kwanini chama cha siasa kisitumie mbinu zake za kisiasa kushawishi watu badala ya kutisha na kuleta uchochezi? Huu Uchochezi ni wakawaida? Je kuna kitu kinaandaliwa ili baadae waje waseme, Tulisema hayo sasa yametokea!

Watu wanatunga uongo, wanatisha Wananchi, wanachochea vurugu na uhasama. Tatizo ni nini lakini?

Kuna mahali nimeona Mheshimiwa mmoja wa chama fulani anahutubia kwamba Chadema wana mpango wa kuingiza Bio Weapons kama Ebola na Mpox. Hehehe😅😅😅

Hivi Mheshimiwa anajua athari zinazoweza kutokana na Kauli zake? Kama sio yeye aka ametengenezewa clip na postures za uongo basi ni vema ajitokeze kukanusha na kujisafisha. Mimi bado si amini kama ni yeye anaweza kufanya jambo hili. Naamini anajua madhara ya kauli zake kiuchumi na kiusalama pia.

Juzi tu tumearifiwa na Ubalozi wa Marekani kuwa na tishio la shambulio la kigaidi linaweza kutokea Mkoa wa Pwani, japo vyombo vyetu viko bize kuhakikisha Jambo hilo linadhibitiwa naona kauli kama hizi kuanza kujitokeza kipindi hiki kama kudivert attention ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Ni bora vikamuita na kumhoji na kumchukulia hatua za kisheria.

Kundi hilo hilo la kina Fidodido limekuja na Audio Clip na kuisambaza mitandaoni wakidai ni Mh Sugu anatafuta vijana 200- 300 wa kufanya vurugu Mkoani Mbeya. Ni hatari sana.

Jambo Moja la kuwakumbusha ni kuwa Unabii Umeshasema kila watakapo jaribu Kuzuia basi watakikuta wanaharibu zaidi.

Inawezekana ndio yanatimia?? Hii panic inatokana na nini? I don't see the need to jeorpadize our harmony for sake of their interest.

Vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama vimehakikisha amani inadumu Tanzania wakati wote. Tuna imani na nyie wazee.
huenda ni kweli ila aje na ushahidi na wahusika wazuiliwe
 
Mbona Chadema wenyewe hawakanushi, bali wanakanusha nyumbu tu? Leo huko ilikuwa sehemu sahihi kabisa ya kukanusha hilo. Mbona wamekaa kimya? Na ikijabainika ni kweli mtasemaje?
 
CCM hawana kitu kipya tena ujue hivyo kazi iliyobaki ni kutunga uongo ili kuendelea kuwaibia watanzania,wamechoka zaidi ya kuchoka,hoja hawana tena,kazi yetu watanzania ni kuwaondoa CCM na mama yao kwa nguvu zetu zote.
 
Kabla ya kuanza kumlaumu makala jiulize Kwanza kwani chadema hawawezi kuyafanya hayo?kwangu Mimi chama hiki nakijua kama chama hatari Kwa usalama wa nchi hii kwani wamewahi kufanya matukio mengi na ya hatari tukio la Kwanza bomu la Arusha hili ni tukio limejulikana lilikua tukio la kupangwa na chadema wenyewe Kwa malengo yao ya kupata political tension tukio la pili kutekekwa na kupigwa Kwa Joseph Yona tukio la tatu kulishwa sumu zitto na kuuwawa Kwa chacha wangwe haya ni baadhi tu ya matukio kati ya mengi yanayoonyesha uhatari wa chama hiki
 
Kazi ya Polisi ni nini?
 
Ni taarifa nyeti wala hakupaswa kuzitamka wazi wazi
huenda ni kweli ila aje na ushahidi na wahusika wazuiliwe

Kabla ya kuanza kumlaumu makala jiulize Kwanza kwani chadema hawawezi kuyafanya hayo?kwangu Mimi chama hiki nakijua kama chama hatari Kwa usalama wa nchi hii kwani wamewahi kufanya matukio mengi na ya hatari tukio la Kwanza bomu la Arusha hili ni tukio limejulikana lilikua tukio la kupangwa na chadema wenyewe Kwa malengo yao ya kupata political tension tukio la pili kutekekwa na kupigwa Kwa Joseph Yona tukio la tatu kulishwa sumu zitto na kuuwawa Kwa chacha wangwe haya ni baadhi tu ya matukio kati ya mengi yanayoonyesha uhatari wa chama hiki
Hopeless
 
Mbona Chadema wenyewe hawakanushi, bali wanakanusha nyumbu tu? Leo huko ilikuwa sehemu sahihi kabisa ya kukanusha hilo. Mbona wamekaa kimya? Na ikijabainika ni kweli mtasemaje?
Hawana muda wa kupoteza, wao sio vyombo vya dola.
 
Hatari sana, na kesho ataleta uongozi mwingine na bado tutamuangalia kwasababu yuko upande usioguswa.

Kitakachofuata jamaa atafanyiwa cover up haraka na kuonekana ni issue ya kawaida sana. Binafsi Kuna watu wajinga wajinga huwa naishia kuwadharau sana.
Hehehehe....Jamaa amekuudhi sana
 
Kabla ya kuanza kumlaumu makala jiulize Kwanza kwani chadema hawawezi kuyafanya hayo?kwangu Mimi chama hiki nakijua kama chama hatari Kwa usalama wa nchi hii kwani wamewahi kufanya matukio mengi na ya hatari tukio la Kwanza bomu la Arusha hili ni tukio limejulikana lilikua tukio la kupangwa na chadema wenyewe Kwa malengo yao ya kupata political tension tukio la pili kutekekwa na kupigwa Kwa Joseph Yona tukio la tatu kulishwa sumu zitto na kuuwawa Kwa chacha wangwe haya ni baadhi tu ya matukio kati ya mengi yanayoonyesha uhatari wa chama hiki
Kwahiyo yote waliyafanya wakati serikali imeyakalia kimya. Basi chadema qananguvu mpaka walimlitilia sumu magufuli.
 
Hu
Habari zinazosambaa mitandaoni zinatisha. Kama ni za kweli au la hilo tuliache kwa vyombo vyenye mamlaka.

Imefika mahali Watu wanashirikiana na watu wasiolitakia mema Tanzania kutia hofu, kuleta taharuki na vurugu. Hii yoote ni kwa sababu gani?

Kwanini chama cha siasa kisitumie mbinu zake za kisiasa kushawishi watu badala ya kutisha na kuleta uchochezi? Huu Uchochezi ni wakawaida? Je kuna kitu kinaandaliwa ili baadae waje waseme, Tulisema hayo sasa yametokea!

Watu wanatunga uongo, wanatisha Wananchi, wanachochea vurugu na uhasama. Tatizo ni nini lakini?

Kuna mahali nimeona Mheshimiwa mmoja wa chama fulani anahutubia kwamba Chadema wana mpango wa kuingiza Bio Weapons kama Ebola na Mpox. Hehehe😅😅😅

Hivi Mheshimiwa anajua athari zinazoweza kutokana na Kauli zake? Kama sio yeye aka ametengenezewa clip na postures za uongo basi ni vema ajitokeze kukanusha na kujisafisha. Mimi bado si amini kama ni yeye anaweza kufanya jambo hili. Naamini anajua madhara ya kauli zake kiuchumi na kiusalama pia.

Juzi tu tumearifiwa na Ubalozi wa Marekani kuwa na tishio la shambulio la kigaidi linaweza kutokea Mkoa wa Pwani, japo vyombo vyetu viko bize kuhakikisha Jambo hilo linadhibitiwa naona kauli kama hizi kuanza kujitokeza kipindi hiki kama kudivert attention ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Ni bora vikamuita na kumhoji na kumchukulia hatua za kisheria.

Kundi hilo hilo la kina Fidodido limekuja na Audio Clip na kuisambaza mitandaoni wakidai ni Mh Sugu anatafuta vijana 200- 300 wa kufanya vurugu Mkoani Mbeya. Ni hatari sana.

Jambo Moja la kuwakumbusha ni kuwa Unabii Umeshasema kila watakapo jaribu Kuzuia basi watakikuta wanaharibu zaidi.

Inawezekana ndio yanatimia?? Hii panic inatokana na nini? I don't see the need to jeorpadize our harmony for sake of their interest.

Vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama vimehakikisha amani inadumu Tanzania wakati wote. Tuna imani na nyie wazee.
yu mtu kiukweli ameropoka vibaya, atafakari. Hivi akitakiwa kutoa ushahidi atakuwa nao?
 
Back
Top Bottom