Covid 19 ilipoingia ilichukua muda gani serikali kukubali ugonjwa upo na ni wangapi walikufa sababu mwanzoni ilizuiliwa kwa daktari kutoa hati ya uthibitisho wa kifo kutokana na Covid 19?Makala ni mpumbavu kutokana na aina ya Katiba na tume tuliyo nayo inayosababisha watu kushinda bila kuchaguliwa .
Nchi inaongozwa na wapumbavu wengi.
Hiyo clip itatafsiriwa kwa lugha zote za kimataifa hallafu ipelekwe WHO ili Amos makala asaidie kujua hao wanaouza hivyo virusi.
Yaani kumbe ugonjwa huo unaingia Tanzania kwa kununuliwa halafu WHO wapo kimya.
Na Makala asaidie pia UN kutoa tamko dhidi ya wauzaji wa Virusi kiholela .
Mashirika ya kimataifa ya haki za binadamu yatoe tamko la kwa nini wapo kimya wakati kuna watu wana uza na kununua virusi hatari vya ebola ili kuangamiza wenzao tena ndani ya nchi moja ambayo kwa miaka mingi watu wameishi kwa umoja mpaka awamu ya sita ilipoanza kutumia Machawa na mafunza kufanya siasa .
Hapa ndipo pazuri pa Makala kutoa ushahidi na vielelezo vyake maana tamko la CCM ni tamko la serikali .
Samia mwenyekiti wa CCM tunaamini amepata taarifa za kutosha juu ya hizo nchi wanazouza virusi .
CCM linapokuja suala la uchaguzi wanageuka wanakua mashetani na hawajali tena diplomasia za kimata mpaka uchaguzi uishe wanarudisha diplomasia kwa gharama za kuuza rasilimali zetu kama njia ya kuwavutia wageni . Huu ni upumbavu mkubwa sana na hasara kubwa kwa taifa.
Makala hana hoja tena wala sera.
Kwa nini asijifunze jinsi Kinana na Nape walivyopambana kuijenga CCM iliyokua imekufa mwishoni mwa utawala wa JK mpaka wakashinda tena.
Hizi siasa za kuleta taharuki zina faida gani?
Watanzania wenye akili wameshauri kuwa tume ya uchaguzi ifanyiwe marekebisho kabla ya uchaguzi.
Uchaguzi ukifanywa kwa tume hii na utaratibu huu wa kuwatumbia macho wahuni kama makala ni hatari sana . Hawa CCM ya wafa maji inafanya lolote sasa ili irudi madarakani.
Ila Makala akiwa na uzima ataiona CCM ikipotea kabisa katika ulimwengu wa siasa .Bora wangeweka ushindani mzuri wa kisiasa ili wenye akili ndani ya CCM wajulikane.
Siasa ni kama soccer!!Habari zinazosambaa mitandaoni zinatisha. Kama ni za kweli au la hilo tuliache kwa vyombo vyenye mamlaka.
Imefika mahali Watu wanashirikiana na watu wasiolitakia mema Tanzania kutia hofu, kuleta taharuki na vurugu. Hii yoote ni kwa sababu gani?
Kwanini chama cha siasa kisitumie mbinu zake za kisiasa kushawishi watu badala ya kutisha na kuleta uchochezi? Huu Uchochezi ni wakawaida? Je kuna kitu kinaandaliwa ili baadae waje waseme, Tulisema hayo sasa yametokea!
Watu wanatunga uongo, wanatisha Wananchi, wanachochea vurugu na uhasama. Tatizo ni nini lakini?
Kuna mahali nimeona Mheshimiwa mmoja wa chama fulani anahutubia kwamba Chadema wana mpango wa kuingiza Bio Weapons kama Ebola na Mpox. Hehehe😅😅😅
Hivi Mheshimiwa anajua athari zinazoweza kutokana na Kauli zake? Kama sio yeye aka ametengenezewa clip na postures za uongo basi ni vema ajitokeze kukanusha na kujisafisha. Mimi bado si amini kama ni yeye anaweza kufanya jambo hili. Naamini anajua madhara ya kauli zake kiuchumi na kiusalama pia.
Juzi tu tumearifiwa na Ubalozi wa Marekani kuwa na tishio la shambulio la kigaidi linaweza kutokea Mkoa wa Pwani, japo vyombo vyetu viko bize kuhakikisha Jambo hilo linadhibitiwa naona kauli kama hizi kuanza kujitokeza kipindi hiki kama kudivert attention ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Ni bora vikamuita na kumhoji na kumchukulia hatua za kisheria.
Kundi hilo hilo la kina Fidodido limekuja na Audio Clip na kuisambaza mitandaoni wakidai ni Mh Sugu anatafuta vijana 200- 300 wa kufanya vurugu Mkoani Mbeya. Ni hatari sana.
Jambo Moja la kuwakumbusha ni kuwa Unabii Umeshasema kila watakapo jaribu Kuzuia basi watakikuta wanaharibu zaidi.
Inawezekana ndio yanatimia?? Hii panic inatokana na nini? I don't see the need to jeorpadize our harmony for sake of their interest.
Vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama vimehakikisha amani inadumu Tanzania wakati wote. Tuna imani na nyie wazee.
Ndugu Bush Dokta , CCM ni Sheitwan Ibilisi in his flesh, neema ilishawapita na hawawezi kuacha maovu.Waombewe wapate Neema ya Ukombozi waachane na mambo maovu
Tulia huko mbeya,anapumumulia oxygen kupata ubungeItakuwa kile chama cha wale
Ndio kusema basi tena wasubiri Moto wa Jehanamu tu?Ndugu Bush Dokta , CCM ni Sheitwan Ibilisi in his flesh, neema ilishawapita na hawawezi kuacha maovu.
Hivi chanzo cha wafuasi kuwa wanafiki ni nini sana, hofu, maslahi ama kuna kingine maana nyakati za sasa hali ni mbaya sana.Ikiwezekana tuachane na siasa za kinafiki
Hata sisi wafuasi tunajua kuwa viongozi wetu ni wanafiki lkn ndio tumo kuwasapoti, wanawazidi kutuumiza na wao wanazidi kuneemeka.
HaifahamikiHivi chanzo cha wafuasi kuwa wanafiki ni nini sana, hofu, maslahi ama kuna kingine maana nyakati za sasa hali ni mbaya sana.
Huwa nawaza kwa baadhi ya kauli za watu kuwa je, hawa ni watu kweli ama maroboti?
Nashindwa elewa, kama ubongo unahusika kwa wapambe juu ya upambe wao.