Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Wamewaona wanaowaambia ni Wajinga sana mpaka wanaongea mambo ya Chama fulani kuleta magonjwa aisee..
Ni zaidi ya utaahira jitu kama makala ukute mpaka wajukuu linaoCcm ni mataahira.
Tangu lini shetani akaacha maovuWaombewe wapate Neema ya Ukombozi waachane na mambo maovu
Wnataka kutuletea mambo ya Kongo😅😅Wamewaona wanaowaambia ni Wajinga sana mpaka wanaongea mambo ya Chama fulani kuleta magonjwa aisee..
😅😅😅Hii inanikumbusha kuna jamaa mmoja kipindi hicho, alikuwa anamtaka dem ambaye na mimi nilikuwa nataka nimle, sasa yeye alikuwa kwenye friend zone na huyo manzi. Njia pekee aliyofanya kuharibu alimwambia mimi ninangoma, na huwa naenda kuchukua ARV hospital ya mbali, daaah mbaya sana hii
Falsafa kubwa hii. Ifafanue sisi wenye D moja tuelewe.Unafikiri ni nini kinachodumisha hii amani Tunayoiona , unafikiri Watu wanapenda sana Nchi yao?
Watu wanaridhishwa na huu utawala....
...??
Hofu pekee ndiyo iletayo amani...
Would you rather loved or Feared?
I'd rather be Feared... Than loved
Jamaa alikuchafua sanaHii inanikumbusha kuna jamaa mmoja kipindi hicho, alikuwa anamtaka dem ambaye na mimi nilikuwa nataka nimle, sasa yeye alikuwa kwenye friend zone na huyo manzi. Njia pekee aliyofanya kuharibu alimwambia mimi ninangoma, na huwa naenda kuchukua ARV hospital ya mbali, daaah mbaya sana hii
Wataalamu wa masuala ya Afya, wanasema virus vyA Mpox (Badala ya Monkey Pox kwa sababu sasa vinashambulia binadamu), vilipatikana kwenye maabara huko Dernmark kisha kupatikana tena kwenye Maabara za Marekani.....na Mpox. Hehehe😅😅😅
Hivi Mheshimiwa anajua athari zinazoweza kutokana na Kauli zake? Kama sio yeye aka ametengenezewa clip na postures za uongo basi ni vema ajitokeze kukanusha na kujisafisha. Mimi bado si amini kama ni yeye anaweza kufanya jambo hili. Naamini anajua madhara ya kauli zake kiuchumi na kiusalama pia.
Juzi tu tumearifiwa na Ubalozi wa Marekani...
Hitinisho ni kwamba hiyo ni ya chama sio?Wataalamu wa masuala ya Afya, wanasema virus vyA Mpox (Badala ya Monkey Pox kwa sababu sasa vinashambulia binadamu), vilipatikana kwenye maabara huko Dernmark kisha kupatikana tena kwenye Maabara za Marekani.
===
Tukirudi kwenye mada.
Tunacho chama Tawala na ndicho kinaiongoza serikali. Serikali inatekeleza Ilani ya Chama. Kama kuna kauli si ya kichama, huwa kauli hiyo inakanushwa na Chama.
Hawana lolote wezi wakubwa ni wakupiga kiberiti tu.Usiseme hivyo ndugu wao wamebeba Dira na Hatima ya Nchi yetu. Tuwaombee
Dadekii kweli Lissu kakichafua!! Siasa za presha na kuwekwa roho jui namna hii kama tunavyoona ,ccm walishazisahau muda sana. Mbowe aliwap pumziko la muda mrefu sasa mwamba Ant-pass (hapiti mtu : tunakabia juu) anawapelekea moto balaa 😂😂😂.Hawa CCM wanahangaika kujinasua ila ndio wanazidi kunasa,kwanini wasisubiri kuona uchaguzi utakavyozuiliwa?si walisema hakuna wa kuzuia uchaguzi?
Kama ni kweli Chadema wanapanga kuleta Ebola kwanini hawakamatwi badala yake anaongea mtu jukwaani?
Wasitufanye sisi wajinga.
Ikiwezekana tuachane na siasa za kinafikiMaoni yako kuhusu Mada?
Mpaka siku wakishtuka au kuzindukaIkiwezekana tuachane na siasa za kinafiki
Hata sisi wafuasi tunajua kuwa viongozi wetu ni wanafiki lkn ndio tumo kuwasapoti, wanawazidi kutuumiza na wao wanazidi kuneemeka.
Ooh kumbe mambo yako hiviNdio maana makada wanajua fika kauli ya Lisu ya no reform no election sio ya Lisu ni wenye Dola kupitia chadema ni kama kauli ya "katiba mpya " so ya chadema Bali ya wenye dola ndio wanataka katiba mpya kupitia upinzani kwasababu Chaka tawala kimelewa madaraka!!