PreGE2025 Nitashangaa ikiwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vitaliacha hili jambo lipite bila kuchukua hatua. Tunakoelekea sio kuzuri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mmmh! Hii ni huzuni na naionea huruma Tz yng.... ule wimbo wa Tz Tz nakupenda kwa moyo wote uko wapi?
 
Covid 19 ilipoingia ilichukua muda gani serikali kukubali ugonjwa upo na ni wangapi walikufa sababu mwanzoni ilizuiliwa kwa daktari kutoa hati ya uthibitisho wa kifo kutokana na Covid 19?
 
Siasa ni kama soccer!!
 
Ikiwezekana tuachane na siasa za kinafiki
Hata sisi wafuasi tunajua kuwa viongozi wetu ni wanafiki lkn ndio tumo kuwasapoti, wanawazidi kutuumiza na wao wanazidi kuneemeka.
Hivi chanzo cha wafuasi kuwa wanafiki ni nini sana, hofu, maslahi ama kuna kingine maana nyakati za sasa hali ni mbaya sana.

Huwa nawaza kwa baadhi ya kauli za watu kuwa je, hawa ni watu kweli ama maroboti?
Nashindwa elewa, kama ubongo unahusika kwa wapambe juu ya upambe wao.
 
Haifahamiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…