Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Good observation dada yangu.Cha ajabu hapo kwenye afya, vituo vya afya 5,000 vimejengwa na kukarabatiwa nchi nzima lakini hakuna ajira za afya zilizotoka sasa sijui zinahudumiwa na malaika.
Kwanini hamu wenu wazi namba ya vituo vipya vilivyojengwa na vilivyokarabatiwa?
Subiri waje wakujibu.