Uchaguzi 2020 Nitashangaa kama bado kuna Watanzania watawapa kura Upinzani

Uchaguzi 2020 Nitashangaa kama bado kuna Watanzania watawapa kura Upinzani

Usinipangie maisha wala cha kufanya wewe.. Hyo kura yako nenda kampe Huo dektata wako..
Kazi kuja kulialia tu hapa kwa kuwa CCM ndo inakufanya uende chooni
 
Usinipangie maisha wala cha kufanya wewe.. Hyo kura yako nenda kampe Huo dektata wako..
Kazi kuja kulialia tu hapa kwa kuwa CCM ndo inakufanya uende chooni
Ndugu Mjumbe mbona unanifokea sasa,Punguza jazba
Wapinzani bana yani kwa sera zip labda tuwape nchi?
 
Ila mi siasa huwa najiuliza kweli its a game of fair play au ni game ya the strong one to survive.

Wapinzani tulionao ndo hawana mashiko katika kujenga hoja na kuuza Sera zao mahiri kwa wananchi wapiga kura
Au pengine labda sera wanazo nzuri Ila ni figisu tu za CCM kuleta janja nyingi katika matokeo ya uchaguzi.

Au labda ni wananchi ndo wanaamua na kupiga kura kwa viongozi wao pendwa

Kwasababu licha ya kelele zote za wapinzani na wakati mwingine kadamnasi ya wanachama wao katika mikutano ya kampeni..

Ataeibuka kidedea ni Magufuli tu?
 
Cha ajabu hapo kwenye afya, vituo vya afya 5,000 vimejengwa na kukarabatiwa nchi nzima lakini hakuna ajira za afya zilizotoka sasa sijui zinahudumiwa na malaika.

Kwanini hamu wenu wazi namba ya vituo vipya vilivyojengwa na vilivyokarabatiwa?
Aiii. Wewe nawe. Mwezi wa tatu kuna ajira zilitoka na nyuma ajira kibao zilishatoka.

Muache kujitoa ufahamu.
 
Wakati wanajisifu kuwa na ongezeko la wanafunzi baada ya kukwapua sera ya Chadema ya elimu bure, hapo hapo hakuna ajira za walimu zilizotoka.
Elimu bure secondary na msingi ni ya CCM. CHADEMA mlisema mpaka chuo kikuu.
 
Nahisi Ujatembea wewe Dat why unatamka neno Udikteta nenda Uphilipino kwa Durtete ndio utaelewa unachosema.

Hata madictator wanatofautiana kwa viwango, kwani lazima walingane kwa kila kitu?
 
Cha ajabu hapo kwenye afya, vituo vya afya 5,000 vimejengwa na kukarabatiwa nchi nzima lakini hakuna ajira za afya zilizotoka sasa sijui zinahudumiwa na malaika.

Kwanini hamu wenu wazi namba ya vituo vipya vilivyojengwa na vilivyokarabatiwa?
Ajira zilitoka sky labda haukuziskia.

Kupitia TAMISEMI.
 
Avatar yako inaonesha wewe ni mtu aina gani

Endelea kuosha vyombo hapo dabiliyusibii
 
Zile ajira zilizotangazwa na Polepole mpaka uwe na kadi ya CCM?
Lakini ni ajira wewe umesema hakuna ajira.

By the way, kama wewe una shida ya ajira kuna ugumu gani kuwa nayo kadi ya CCM. Au maskini jeuri!
 
Hivi unaamini kuwa nchi hii CCM wanashinda uchaguzi kwa kuwa wana sera nzuri? Utakuwa ni mgeni nchi hii au mhamiaji haramu!
 
Tuliza mihemko bwana mdogo.
Tundu lissu ndio Rais wetu ,
utaki Kaandamane .

Jiwe akapalilie mashamba sasaiv msimu wa kulima Vitunguu ndio huu
 
Ulishindwa kufa kwa kununua wapigiwa kura ndo ufe leo. Kete moja itakayomuangusha mungu wenu ni njaa ni silaha tosha Hakuna mtz atakula majengo,atulewi pombe tena pombe ni haramu
 
Ila mi siasa huwa najiuliza kweli its a game of fair play au ni game ya the strong one to survive.....

Wapinzani tulionao ndo hawana mashiko katika kujenga hoja na kuuza Sera zao mahiri kwa wananchi wapiga kura
Au pengine labda sera wanazo nzuri Ila ni figisu tu za CCM kuleta janja nyingi katika matokeo ya uchaguzi..
CCM ina mtaji wa wajinga wengi sana
 
Hivi unaamini kuwa nchi hii CCM wanashinda uchaguzi kwa kuwa wana sera nzuri? Utakuwa ni mgeni nchi hii au mhamiaji haramu!
I'm neutral in my thread I didn't base in any side najaribu kupata maoni yenu tu
 
Ccm oyee..Magufuli Safi.

Ni wapi ambapo Rais wetu hajagusa! Nenda kwenye Afya, Nenda kwenye Elimu, Nenda kwenye viwanda, Nenda kwenye Nidhamu, Nenda kwenye Covid 19, kwenye Miundombinu ndipo usiseme kabisa. Mapato hewalaa kila mahali kagusa na matokeo chanya yakionekana mapema kabisa.



Tuonane Oktoba.

Mimi hapo sijafaidika na chochote Yani hivo viwanda , havijanisaidia kitu Yani kama vingekuwepo hayo mengine yote nisingeona mapungufu . Ningekuwa nimeajiriwa miongoni mwa hivyo viwanda. Ukishakosa ajira tu , Naona mnasifia sana aisee naomba na mimi dili la kusifia mana nahisi mnapewa Pesa sana naweza pata mtaji wa kujiajiri kwa kusifia huku.
 
Tutampa Magu aliyetekeleza budget zake zote tano kwa wastani wa 40% kila mwaka na anayetaka kuifanya Tanzania iwe Kama ulaya asiyoijua in five years
 
Mkuu, hata mitandao yote kabisa isipoandika Jina Magufuli haimzuii kushinda Kwa kishindo ambacho hakijawahi kutokea tangu kuwepo vyama vingi nchini

Washindani wake ndo hao hawana breki midomoni mwao, wanajilopokea lolote tu linalowajia

Mara korona IPO inamaliza watu kibao, sasa unaona kabisa jinsi Magu alivyo na mteremko

Tutasikia mengi mwaka huu
 
Back
Top Bottom