Good observation dada yangu.Cha ajabu hapo kwenye afya, vituo vya afya 5,000 vimejengwa na kukarabatiwa nchi nzima lakini hakuna ajira za afya zilizotoka sasa sijui zinahudumiwa na malaika.
Kwanini hamu wenu wazi namba ya vituo vipya vilivyojengwa na vilivyokarabatiwa?
Mapato gani mnakusanya? Acheni kutudanganya!! Awamu ya 5 mnakusanya sawa na Awamu ya JK , tofauti ni kwamba wakati wa JK Halmashauri lilikuwa zinakusanya wenyewe nakupanga maendeleo yao.Kiongozi unaelewa maana ya Vipaumbele/Sera?
Leo watendaji wamekua ni Sehemu muhimu sana kwenye ukusanyaji wa mapato,Tena nashukuru umesema IMEAJIRI WATENDAJI kumbe na Kuajiri bado inaajiri
Bravo Ccm
Ndio Sera za Upinzani siku zote,Sijui misukule,Mnajua abuse language tu watu sisi tukitamba na sera zetu angavuMtoa mada Hadi hapa umeelewa kuwa ulichoandika Ni upupu, Hakuna hata mchangiaji aliyekuunga mkono kwa upupu huu.
Tuondolee upupu huu. Wewe ndiye akapigie msukule wako.
Why wapinzani mnapenda sana kutumia matusi kama defence mechanism yenu..wekeni sera imara kama zetu na Sio Blaa blaaMafisiem mnahangaika sana hapo kampeni bado mnaanza kujinyea nyea subirini dawa iwaingie fresh washamba wakubwa nyie
Karne ya 20 ati unajipanga kuingia na hoja ya ubeberu....wananchi watakushangaa mno.Hahahaa Wapinzani mnatapa kweli kweli mnafanya Siasa Nyepesi Mnoo,Kifupi mmeishiwa hakuna Jipya toka Upinzani
Kiongozi makusanyo ya sasa ni direct proportion na maendeleo tunayoyaona ukipita kule Kituo cha ufya ukienda kule mradi wa kufua umeme ukidumbukia kule reli ya kisasa,Acheni Gubu za kisiasa njoo kwenye chama makiniMapato gani mnakusanya? Acheni kutudanganya!! Awamu ya 5 mnakusanya sawa na Awamu ya JK , tofauti ni kwamba wakati wa JK Halmashauri lilikuwa zinakusanya wenyewe nakupanga maendeleo yao. Awamu ya 5 inaonekana ziko juu kwa vile Halmashauri nimeambiwa ziiachie TRA ili ziingie mfuko mkuu ndiyo maana wale ambao hawako makini kama mtoa hoja wanadhani zimeongezeka.
Endelea na sera zenu ongofu. Wekeni fair play muone Kama mtapona nyie. Hata nukta hamkatishi.Ndio Sera za Upinzani siku zote,Sijui misukule,Mnajua abuse language tu watu sisi tukitamba na sera zetu angavu
Nenda kachapaneKwa hiyo Mmeajri vitu vya kipumbavu tu na ccm imechagua makada tu.Kenya wenzetu walichapana saizi heshima imetawala mwaka huu hatukubali
Sasa kiazi ni tusi?Ndio sera za upinzani matusi,Kejeli ungekuja na Sera safi labda ungeweza kunibadili nami Niwape kura zangu ila sio kwa hayo Matusi na Kejeli.
Wapinzani mmefeli kote mmebaki matusi na kupanda chuki kwa watz tumewashajua
Bavicha na bawacha tu hawaoni ajiraCha ajabu hapo kwenye afya, vituo vya afya 5,000 vimejengwa na kukarabatiwa nchi nzima lakini hakuna ajira za afya zilizotoka sasa sijui zinahudumiwa na malaika.
Kwanini hamu wenu wazi namba ya vituo vipya vilivyojengwa na vilivyokarabatiwa?
Yani ndio manifesto zenu za kumbadilisha Mtanzania wa Vijijini kama mimi eti Nikupe kura yanguHUYU MLETA UZI.ANASTAHILI KUKAMATWA NA KUZIBULIWA MAKOFI,KISHA AFUNGWE JIWE ZITO KIFUANI TUKAMTUPE KATIKATI YA BAHARI
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Nahisi Ujatembea wewe Dat why unatamka neno Udikteta nenda Uphilipino kwa Durtete ndio utaelewa unachosema.Heshima yetu imerudi kwenye nchi za kidictator, alichofanya Magufuli mpaka ni kujikita kwenye miundombinu zaidi, huku akiweka nguvu kidogo kwenye sekta nyingine. Na wakati huohuo kuhakikisha hakuna chombo cha habari kinatangaza asichotaka.
Pamoja na hayo mambo kadhaa aliyofanya kama wajibu wake, ukweli ni kuwa hategemei box la kura kutangazwa mshindi.