Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Ndugu Mjumbe mbona unanifokea sasa,Punguza jazbaUsinipangie maisha wala cha kufanya wewe.. Hyo kura yako nenda kampe Huo dektata wako..
Kazi kuja kulialia tu hapa kwa kuwa CCM ndo inakufanya uende chooni
Aiii. Wewe nawe. Mwezi wa tatu kuna ajira zilitoka na nyuma ajira kibao zilishatoka.Cha ajabu hapo kwenye afya, vituo vya afya 5,000 vimejengwa na kukarabatiwa nchi nzima lakini hakuna ajira za afya zilizotoka sasa sijui zinahudumiwa na malaika.
Kwanini hamu wenu wazi namba ya vituo vipya vilivyojengwa na vilivyokarabatiwa?
Elimu bure secondary na msingi ni ya CCM. CHADEMA mlisema mpaka chuo kikuu.Wakati wanajisifu kuwa na ongezeko la wanafunzi baada ya kukwapua sera ya Chadema ya elimu bure, hapo hapo hakuna ajira za walimu zilizotoka.
Nahisi Ujatembea wewe Dat why unatamka neno Udikteta nenda Uphilipino kwa Durtete ndio utaelewa unachosema.
Zile ajira zilizotangazwa na Polepole mpaka uwe na kadi ya CCM?Aiii. Wewe nawe. Mwezi wa tatu kuna ajira zilitoka na nyuma ajira kibao zilishatoka.
Muache kujitoa ufahamu.
Ajira zilitoka sky labda haukuziskia.Cha ajabu hapo kwenye afya, vituo vya afya 5,000 vimejengwa na kukarabatiwa nchi nzima lakini hakuna ajira za afya zilizotoka sasa sijui zinahudumiwa na malaika.
Kwanini hamu wenu wazi namba ya vituo vipya vilivyojengwa na vilivyokarabatiwa?
Lakini ni ajira wewe umesema hakuna ajira.Zile ajira zilizotangazwa na Polepole mpaka uwe na kadi ya CCM?
CCM ina mtaji wa wajinga wengi sanaIla mi siasa huwa najiuliza kweli its a game of fair play au ni game ya the strong one to survive.....
Wapinzani tulionao ndo hawana mashiko katika kujenga hoja na kuuza Sera zao mahiri kwa wananchi wapiga kura
Au pengine labda sera wanazo nzuri Ila ni figisu tu za CCM kuleta janja nyingi katika matokeo ya uchaguzi..
I'm neutral in my thread I didn't base in any side najaribu kupata maoni yenu tuHivi unaamini kuwa nchi hii CCM wanashinda uchaguzi kwa kuwa wana sera nzuri? Utakuwa ni mgeni nchi hii au mhamiaji haramu!
Ccm oyee..Magufuli Safi.
Ni wapi ambapo Rais wetu hajagusa! Nenda kwenye Afya, Nenda kwenye Elimu, Nenda kwenye viwanda, Nenda kwenye Nidhamu, Nenda kwenye Covid 19, kwenye Miundombinu ndipo usiseme kabisa. Mapato hewalaa kila mahali kagusa na matokeo chanya yakionekana mapema kabisa.
Tuonane Oktoba.