Uchaguzi 2020 Nitashangaa kama bado kuna Watanzania watawapa kura Upinzani

Bado ameshindwa kutatua changamoto shida za watz,ajagusa vipaumbele vya watz zaidi ya kuwaletea umasikini.Ajatengeneza msingi ya maendeleo ya watu bado zaidi ya vitu vimpavyo utukufu na sifa binafsi,shida za watz ni shibe na sio majengo.
 
Ajira za afya n nyingi sana zimetoka.

Mm niliajiriwa 2018,na juzi tu madakatri 1000 wameajiriwa
Hawana hata database kazi kupinga kila kitu oct 28 mtapigwa kipigo cha...
 
You are a fool
Real.?a huge problem of oppositions in Tanzania they lack Strong Agendas/good policies they depend on opposing evertings and abuse language.
 
Acheni Kujidanganya ndg wajumbe kwa sera zipi hizo za upinzani za kupinga kila kitu.Sio kwa Watanzania wa 2020
Baba yenu Jiwe anazijua sera za upinzani. Na ndiyo anazitekeleza
 
Kiongozi makusanyo ya sasa ni direct proportion na maendeleo tunayoyaona ukipita kule Kituo cha ufya ukienda kule mradi wa kufua umeme ukidumbukia kule reli ya kisasa,Acheni Gubu za kisiasa njoo kwenye chama makini
Hamna kitu ni UTOPOLO mtupu amefanya miaka 5
 
Cha ajabu hapo kwenye afya, vituo vya afya 5,000 vimejengwa na kukarabatiwa nchi nzima lakini hakuna ajira za afya zilizotoka sasa sijui zinahudumiwa na malaika.

Kwanini hamu wenu wazi namba ya vituo vipya vilivyojengwa na vilivyokarabatiwa?
Wewe Ni mjinga na kwasabab Akili zako zimekaa kijinga zinakufanya usiweze kutambua Mambo yanayoendelea kwenye nchi yako.

Unegekuwa na Akili timamu usingeandika huu Upuuzi wa kuwa heti "serikali haijaajiri ajira za afya"
Are you mentally fit? Kaulize hata mtoto wa form1 atakuelezea vizuri kuhusu ajira za afya unazo bwabwaja hapa hazijatolewa.
 


Kwa nini wasiwape kura. Kila mtu anaangalia itikadi anayokubaliana nayo. Upinzani una nafasi kubwa katika kusaidi CCM isilewe madaraka kama ilivyokuwa imekuwa miaka ya nyuma. Mpaka sasa sera za Dr. Slaa ndiyo zinatumika kuendeleza nchi, ndiyo maana Magufuli akatambua nafasi ya Dr. Slaa katika kuleta mabadiliko TZ na akamteua kuwa balozi huko Scandinavia.
 
Dogo! ccm tangu 1995 CCM hawajawahi shinda, Ingawa wapinzani hawatangazwi wapinzani wanaongoza serikali kwa remote
 
Eti Ccm Imeajiri watendaji wa vijiji kuliko walimu ,Watanzania Tunakubali vijana wetu wanasoma kwa shida wanategemea Ajira lakini Ccm ajira hazipo Tangu mwaka 2015.
Wameajiri wakala wa TISs kila bar, Upumbavu tu
 
Nimeridhika na maoni ya wachangiaji! Siongezi neno maana mleta mada hakutegemea muchacho ingemgalagaza vibaya mno!
 
Cha ajabu hapo kwenye afya, vituo vya afya 5,000 vimejengwa na kukarabatiwa nchi nzima lakini hakuna ajira za afya zilizotoka sasa sijui zinahudumiwa na malaika.

Kwanini hamu wenu wazi namba ya vituo vipya vilivyojengwa na vilivyokarabatiwa?
Wala hakuna unafuu wowote kwa sisi mwananchi wa kawaida. Tunaona majengo tu na gharama ni zilezile
 
Hata wao wanakushangaa wewe
 
vyombo vya habari bure kabisa hii nchi..
 
Mambo yanayozunguka kichwani mwako ni ya kufikiririka tu hayana uhalisia huo utafiti utafiti unaosema watz wanaheshimika kokote wanakoenda umeufanya lini?,wapiga vinubi na zumali mna shida sehemu
 
Vipi kuhusu uchaguzi wa tanzania visiwani
 
kwa akili yako unaweza nunua masofa na kutandaza kwenye kiwanja kabla ya kujenga nyumba!

Nini kinatangulia kuleta wanafunzi kwenye shule isiyo na madarasa au kujenga madarasa tosherezi kabla ya kuleta wanafuzi wakati wa uanzishwaji wa shule?

Mbulula jike wewe!
Cha ajabu hapo kwenye afya, vituo vya afya 5,000 vimejengwa na kukarabatiwa nchi nzima lakini hakuna ajira za afya zilizotoka sasa sijui zinahudumiwa na malaika.

Kwanini hamu wenu wazi namba ya vituo vipya vilivyojengwa na vilivyokarabatiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…