GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Anakufa kuanzia 3 kwenda mbele japo na Wao watapata Goli / Bao Moja ( 1 ) ambalo huenda likafungwa na Aliyetoka Kimizengwe na Manyanyaso Kwao.Kwamba ramba ramba wameshatolewa na Mali kabisaa[emoji20][emoji20]
weka kwenye katuni uraruaji huuYaani Timu ina Kiongozi mwana Avic Town Kigamboni FC, ina Kaimu Afisa Habari Mnafiki mwana Avic Town Kigamboni FC na Mtaalam wa Ufundi mwana Avic Town Kigamboni FC halafu kabisa wana Simba SC mnajipa Moyo kuwa itafungwa ili tofauti ya Alama iendelee kuwa Kubwa?
Nawashauri msipoteze kabisa muda Wenu Kuitizama na ni kheri huo muda wa hiyo Mechi muitumie kwa kuwa hapa JamiiForums au kuwa Gesti / Loji Kubandua tu Totooz au Kubeti Mikeka mbalimbali ya Mechi Kubwa Kubwa za Kimataifa.
Baby Mbande Mbagala FC kwa Siku za karibuni huwa hana Uchoyo wa kumpa Mumewe Avic Town Kigamboni FC hivyo ataamua tu akandamize Goli / Bao ngapi mpaka aridhike.
Pamoja na watu kumuona mtu wa hovyo Mimi namuona mtu "perfect sana". Gentamycine hajawahi kuahidi kitu na asitekeleze kama watu wengine qa hovyo. Uzi alishauleta na nimeusoma vizuri tu.Mkude's wife ulitwambia ungetuletea Ubuyu kuhusiana na Feisal kutoitwa timu ya Taifa!,Vp mbona kimya?
Ubarikiwe Mkuu. Achana na huyo Fool.Pamoja na watu kumuona mtu wa hovyo Mimi namuona mtu "perfect sana". Gentamycine hajawahi kuahidi kitu na asitekeleze kama watu wengine qa hovyo. Uzi alishauleta na nimeusoma vizuri tu.
Nashukuru kwa Kunielewa vyema Mkuu.Anayewauza Azam ni CEO wao Popat.Huyu ni Utopolo wa kutupwa.Huwa hata anashiriki kumpangia kocha wa Azam timu inapocheza na Utopolo.
Kwenye Ngao ya Jamii golikipa wa tatu ndio alipangwa.Na unajua kilichotokea.Mechi ya mshindi wa tatu kikosi kikapangwa na Kocha Singida akalala 2.Bila kuwadhibiti hao mamluki Azam watalia sana kwa Utopolo.
Asante, Amina na tuombeane Uzima.Genta nakuomba uchaguzi ujao wa club yako pendwa ningependa ugombee nafasi yyte ya uongozi naona Simba ikifika mbali sana chini yako