Uchaguzi 2020 Nitashangaa Wafanyabiashara kumnyima Magufuli kura

Wafanyabiashara wanahasira na mgombea kutoka ubeligiji ambaye anataka kuwaribia mfumo wao wa kufanya biashara

Kweli kabisa
Coz wakati wa JK mbaazi kilo ilikuwa ni elf mbili, Miaka mitano ya bwana huyu mbaazi kilo ni shilingi Mia, one hundred 💯, Yan condom ina gharama kuliko kilo ya mbaazi
 
Jana tulikiwa tumekaa tukipata brekafast hotelini, kulikuwa na viongozi watatu wa wafanyabiashara, kama kawaida kwa kipindi hiki, masuala ya uchaguzi ndiyo hoja kuu, meza ya karibu ilikuwa na vijana 4, TV ilikuwa ikimwonesha Magufuli, mmoja akasema kwa sauti kubwa, 'hatukuchagui'.

Kulikuwa na 3 waliokuwa kimya, lakini wengine wote, kama watu 15 hivi, kwa nyakati tofauti tofauti walikuwa wakisema hawatamchagua. Na baadaye mmoja wa wale viongozi wa wafanyabiashara akasema, "kama kwa wafanyabiashara, hakuna atakayempa kura".

Ni sample ndogo lakini yaweza kuwa ni representative. Hakuna hata mmoja pale aliyesema atamchagua Magufuli, labda wale watatu waliokuwa kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna watu wanatakiwa kuponda kichwa cha nyoka ni wafanyabiashara; wamenyanyaswa kwa utitiri wa kodi, wamedulumiwa, wamefilisiwa...
Magufuli hajaongeza kodi hila amesimamia sheria vyema na amedhibiti mianya ya rushwa na maghendo tu.
 
Kwani sheria za kodi zimetungwa na magu.
 
Magufuli kaponyesha korona?

Kwa kusali?

Mungu anamtambua sana Magufuli kuliko wanadamu wengine?

Mataifa mengine hayajui kusali ila Magufuli tu ndio anajua kusali?
Fuatilia vifo vingi vimetokea nchi gani na ni makao makuu ya ukristo duniani,irani.
 
Ungekuwa na akili timamu au ungekuwa na biashara usingeandika huu upuuzi
 
Kete yenu ya mwisho ni corona nayo imebuma.
Hakuna mfanyabiashara mjinga wa hivyo
 
Kati ya Makundi yatakayomnyima kura Magufuli kwa kishindo kwenye uchaguzi wa mwaka huu ni Wafanyabiashara kutokana na kubambikiwa makodi na TRA na kuharibiwa mazingira ya biashara, Wakulima (Korosho, Mbaazi, Tumbaku, Pamba, Kahawa na Mahindi- sababu si naeleweka na Vijana kutokana na kukosekana kwa ajira.

Nasema hapa, hakuna namna Magufuli atashinda uchaguzi wa mwaka huu. HAKUNAA
 
Ni kweli Magufuli haku "follow the pack" juu ya swala la corona na COVID19.
Lakini hili si litakalo mbeba.
Kubebwa kwa Magufuli kuwe katika kukamilisha miradi hasa ule wa umeme wa Stiglaz Goji, umeme wa Megawati 2100.

Hilo ndio Magufuli atakumbukwa miaka yote.
Suala la wagfanya biashara sio uongo kavurunda, tena vibaya!
Biashara zilizofungwa au kufilisika kutokana na mazingira kuwa magumu ni dhahiri.
Huna haja ya kuambiwa ,nenda Kariakoo na sehemu nyingine nyingi Jijini DSM uone biashara zilizofungwa.
Tunaomba Magufuli anadiwe kwa mambo yenye tija ,sio hili la biashara maana huko utapata upinzani mtupu, hata kutoka kwa wana CCM.
 
Unaandika upumbavu, madhira aliyowasababishia wafanyibiashara hayawezi kuponywa na dawa yake ni kumnyima kura aende chato akaangalie fursa za ujasiriamali, kwenye uraisi hafai, hakuna cha kumalizia miaka 10, nchi hii ina watu wengi sana wanaoweza kushika nafasi ya uraisi, yalifanyika makosa makubwa saana tarehe 25/10/2015 kuchagua mtusi huyo, matatizo mengi tuliyo nayo sasa hivi ni kazi ya mikono yake
 
Nasimama upande wako
 
Uongozi hautolewei kama shukrani
 
Kusimamia sheria za kodi ni kosa? 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…