Uchaguzi 2020 Nitashangaa Wafanyabiashara kumnyima Magufuli kura

Nitashangaa wakimpa Magufuli kura, wameshaona rangi yake halisi.

Wamchague Lisu tu.
 

Hao waambie waende kwenye ofisi zao.. Babu kizee wewe..upo😅😅😅

💯Magufuli 2020 💛💚💛💚💛

Ni mwendo wakutiki boksi la kwanza
💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽
 
AFU BIBIIIII... mbona hutaki nie nikusalimiee mjukuu
 
AFU BIBIIIII... mbona hutaki nie nikusalimiee mjukuu

Sasa ofisi za tume hufahamu zilipo au!!!!!
Hao wa Twita wote wanawachezea akili tu.. munafurahia huku wao pia ni lazima wachague 💛💚💛💚💛💚💛

Mtajiju.. Jumatano. tiki boksi la kwanza
 
 
Sasa ofisi za tume hufahamu zilipo au!!!!!
Hao wa Twita wote wanawachezea akili tu.. munafurahia huku wao pia ni lazima wachague 💛💚💛💚💛💚💛

Mtajiju.. Jumatano. tiki boksi la kwanza
ALIPOOOO TUPOOOOOOOOOOOO!! ✌️ ✌️ ✌️ ✌️ ✌️ #NIYEYE2020
 
Wewe ni mnufaika wa ufedhuri uonevu unyanyasaji mateso kwa wafanyabiashara huwezi kuona tabu wanayopata kwani umetajirika kwa blackmail kwa kutumia kivuli cha udikteta wenu
 
TRA na BOT ni mwiba na Sumu kwa wafanyabiashara Nchini
 
NA WALE ALIOWANYANG'ANYA PESA KWENYE AKAUNTI ZAO AWARUDISHIE.

SHETANI MKUBWA HUYO!
 
Kuna mambo ambayo hata ukipost kwenye mitandao haisaidii bora kama man swali uende kwa vyombo husika
Ukishajua iweje? Au ulitaka sample ukatengeneze zako?
kama hujui kitu bora ufunge domo
 
Wafanyabiashara wanahasira na mgombea kutoka Ubeligiji ambaye anataka kuwaharibia mfumo wao wa kufanya biashara
Kinyume chake hapa Kariakoo tuna hasira kali na JPM kwa maumivu yasiovumilika aliyotusababishia kwenye biashara zetu. Lazima tumchinjilie mbali 28.10.2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…