kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #41
Maandamano yasipite kwenye barabara hizi tulizojengewa ss raia tupite. Nami Nina haki ya kutobughudhiwa na wanaoandamanaSisi tunaandamana kama wewe hutaki kuandamana usituzuie sisi shika khamsini zako nasi na khamsini zetu.
👆
Upo hapo.