Pre GE2025 Nitashiriki kuzuia maandamano ya CHADEMA Januari 24, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sisi tunaandamana kama wewe hutaki kuandamana usituzuie sisi shika khamsini zako nasi na khamsini zetu.
πŸ‘†
Upo hapo.
Maandamano yasipite kwenye barabara hizi tulizojengewa ss raia tupite. Nami Nina haki ya kutobughudhiwa na wanaoandamana
 
MaCHWA Maandamano yanawakosesha usingizi .....!!

Mtakonda kwa mawazo.
Kinachonishangaza ni maandamano kwenda Umoja wa mataifa (UN). Kwani UN hawajui kama Tanzania Kuna afadhali kuliko DRC, Rwanda, Burundi, Somalia, Sudan, Gaza, Libya, Ukraine, Mali, Burkina Faso, Niger, Afrika ya kati au Ethiopia? Mbona UN haifanyi jambo huko? Ni maandamano ya kitoto kabisa. Kwanini viongozi wa chadema wasiende ofisi za UN kupeleka malalamiko Yao bila kuandamana?
 
Maandamano yasipite kwenye barabara hizi tulizojengewa ss raia tupite. Nami Nina haki ya kutobughudhiwa na wanaoandamana
Hizi Barabara ni zetu sote tuvumiliane ndugu kama ni kodi sote tunalipa.
 
Nakupongeza. Huo utakuwa uamuzi wa kizalendo. Mbowe na genge lake wanaitumia CHADEMA kujitajirisha huku nyumbu zikiendelea kulia njaa.
 

Nenda kawazuie panya road kwanza. Mnafiki mkubwa.
 
Ni strategy tu. Wanaanza huko..... Next time atakwenda kwingine.
 
Ikosiku tutazoa viongozi takataka maana ni takangumu zinazotukwamisha watatumia 'shije' kuzuia na hawatoweza!!! Ipo siku
 
Hizi Barabara ni zetu sote tuvumiliane ndugu kama ni kodi sote tunalipa.
Ndugu yangu nyie familia zenu ziko canada, ubelgiji, marekani halafu mnataka kuwatanguliza watoto wa wenzenu kwenye maandamano, it is unfair. Sisi ni watanzania, ni lini na wapi tulikutana na nyinyi tukawatuma muitishe maandamano? mnakaa kwenye vijiwe vyenu vya kula mirungi halafu mnapanga kwaniaba yetu.
 
Familia yangu iko TMK na nimeshaweka bayana kuwa nitaandamana na mtoto wangu.
 
Nakupongeza. Huo utakuwa uamuzi wa kizalendo. Mbowe na genge lake wanaitumia CHADEMA kujitajirisha huku nyumbu zikiendelea kulia njaa.
Waitishe maandamano ya kupinga na kulaani wote waliokwenda kuunga juhudi za upande wa pili. Kwenda kuunga juhudi kumepoteza pesa nyingi sana kurudia changuzi ambazo zilishamalizika. Pesa ambazo zingetumika kujenga madarsa, kunua dawa na kupunguza ukali wa maisha.
 
Hv wachaga mnaamini kabisa mr. Makengeza atakuja kuwa rais wa nchi hii. Hizo akili zenu nani kawaibia? Mkatafute mlikozipoteza hizo akili zenu.
Kama mimacho mlegezo mchepuko wa JK umeweza kukaa ikulu basi hata jiwe linaweza!!
 
Hivi na wewe huwa unajihesabu katika watu wenye akili?
 
Hivi na wewe huwa unajihesabu katika watu wenye akili?
Hamasisha kwanza kila mwanamaandamano awe na passport kama wewe kabla hajaandamana. Tusidanganyane buana!!!
 
Shida ya Zanzibar wanadhani wao TU ndio wanaobanwa na muungano huu na kusahau kuwa huu muungano ni kama wanandoa ambao kila mmoja wao Kuna Uhuru wake ataupoteza ndani ya ndoa hiyo na Kuna faida atazipata kupitia ndoa hiyo. Zanzibar wanadhani kuwa ni tz bara wanafaidi miungano kumbe ni kinyume chake na watanganyika wanadhani kuwa wazanzibar wanafaidi zaidi kuliko wao kumbe ni kinyume chake pia.

Rasimu Ile ya warioba ina mambo mazuri ambayo kama mchakato ungefika mwisho swala la tume huru lisingekuwa tatizo Leo. Wakumbuke kuwa hata Leo hii kama ukawa utang'ang'ania serikali 3 katiba mpya itakwama tena.
 
Hiyo kazi waachie wazoa takataka, isije ikadhaniwa nawe ni takataka wakakuzoa.
Inawezekana kweli CCM imekata pumzi, maana ni kweli umeme hakuna, maji ni shida, ajira ni shida, rushwa ipo, ubadhilifu ni mwingi, wizi wa mali ya uma umekidhiri lakini je, ni Chama kipi kipewe nafasi ya kutuomgoza? Hakipo, vyama vimejaa waunga juhudi TU (CCM b?), wakabila, na wakanda. Chama serious hakiwezi kuchukua mgombea ambae alikuwa waziri mkuu CCM kuwa mgombea wake wakati ukijua kuwa Tanzania ili upewe nafasi ya kuwa waziri mkuu lazima upitie wapi na wapi.
 
Ukisikia hoja za akina Rose Moshi, Manka ndesamburo, mbaya na wengine kwenye maandamano utawasikia wakisema Mashamba kilosa, sukari imepanda, nauli za daladala, uchaguzi wa 2020 na katiba kidooogo sana. Jamaani, tunahitaji hoja nzito za nchi ili tujue tume huru inapeleka Ikulu watu gani kwaajili gani.
 
Njoo tukupasue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…