Pre GE2025 Nitashiriki kuzuia maandamano ya CHADEMA Januari 24, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe nadhani tukwambie Sasa..... Wewe ni mpumbavu!!

Muachage kuvamia mambo yaliyo nje ya uwezo wenu!! Hapa maandamano yananendelea na yanazidi kukua!! Mbona huonekani kuyazuia??

Mjinga mkubwa
 
Wewe nadhani tukwambie Sasa..... Wewe ni mpumbavu!!

Muachage kuvamia mambo yaliyo nje ya uwezo wenu!! Hapa maandamano yananendelea na yanazidi kukua!! Mbona huonekani kuyazuia??

Mjinga mkubwa
Watu walipiga hesabu wakaona
Kwa hiyo unatakaje
Actually andamaneni TU kama kuandamana ndio huko. Vyombo vyote vya habari vimeonyesha maandamano hayo, actually tz Ina demokrasia ya kutosha.
 
Umezuia ukiwa wapi?
 
Vitu vingine vinatia aibu sana. Tuwe na akiba ya maneno chalamila Leo na Komwe lake na upara ule kaona aibu
 
Wewe nadhani tukwambie Sasa..... Wewe ni mpumbavu!!

Muachage kuvamia mambo yaliyo nje ya uwezo wenu!! Hapa maandamano yananendelea na yanazidi kukua!! Mbona huonekani kuyazuia??

Mjinga mkubwa
Ni hesabu, umempaisha mama kimataifa katika duru za siasa za kistaarabu. Tunqfahamu kuwa miongoni mwenu wamo waunga juhudi kama akina Peneza. Hamuaminiki.
 
Umezuia ukiwa wapi?
Tulitafakari kwa kina tukaona tutawapa kichwa na milage kama mngezuiwa msiandamane. Bahati mbaya nilisikia viongozi wa maandamano wakidai mashamba kilosa, ajira kwa vijana, bei ya sukari kupanda, nauli kupanda kana kwamba hamjui chochote kuhusu sababu za kupanda kwa mafuta dunia nzima, kwanini sukari ni chache, kwanini ajira kwa vijana hakuna. Hata kule ujerumani wakulima wanaoandamana kuponga bei ya mafuta kuwa juu na serikali kuondoa ruzuku kwenye bei ya mafuta. Maana dunia itawazomea nyinyi kuwasikia unaandamana kupinga gharama za maisha.
 
Mbwiga mwenye uzi mbona sikumuona akizuia Maandamano yetu Matukufu😳
 
Hao tamka tamka wanachojua ni kutamka tu si kutenda. Labda Ile miaka ya Rais Kikwete ndiyo walikuwa kweli wanaandamana.

Hivyo, huna hata haja ya kujiandaa kuzuia maana hayatakuwepo.
Ni mwenye utimamu wa akili pekee ndiye awezaye kuwa na akiba ya maneno.

Majuha, vilaza, misukule na mbumbumbu ndio walioamini kuwa maandamano hayatakuwepo.

Hata mahafidhina huwa wanabadilika, ni maiti tu ndiyo huwa inaona vitu haviwezekani sababu wao ni maiti.
 
Nilikuwepo lakini maandamano yamemnufaisha Mama kimataifa kuliko chadema. Mama ameingia kwenye record ya viongozi wa kidemokrasia
Kwa hiyo ulipotaka kuyazuia lengo lako lilikuwa ni kumchafua kimataifa?
Watu wapo sahihi wanaposema maadui wake wa kubwa ni nyie mnaomshangilia na siyo wanaompinga.
Wanaompinga akikosea huku wakimpa mamna nzuri ya kufanya hawana nafasi yoyote ya kuwa wasaliti kwake, wala ya kuwa wanafiki kwake. Ninyi mnaojifanya kuunga mkono na kushangilia kila kitu ndiyo wanafiki wenyewe, ma mpo hatua chache sana kuvuka mstari na kuwa wasaliti.
 
Unaumia ukiwa Wapi?
 
 
Hao tamka tamka wanachojua ni kutamka tu si kutenda. Labda Ile miaka ya Rais Kikwete ndiyo walikuwa kweli wanaandamana.

Hivyo, huna hata haja ya kujiandaa kuzuia maana hayatakuwepo.
Ukisoma hii post tena unajiskiaje
 
Wala usihangaike kuzuia, hakuna sisimizi au pimbi yeyote wa CHADEMA atakayeandamana. Hawa wanafanya trending tu kwenye social media. Waoga hawana mfano
Hebu soma tena hii comm3nt then jipige kifuani sema "mimi ni mjinga"
 
Tabia zipi unaweza kuzianisha?
Maandamano ya kuwasifu watawala "ruksa"
Maandamano ya kuonesha grievances za wananchi na mapungufu ni "haramu"

Katiba: serikali itapata madaraka yake kutoka kwa wananchi! Nyie ni makalio kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…