Nitasimama na Joel Nanauka kama atachukua fomu ya ubunge wa Mtwara mjini

Nitasimama na Joel Nanauka kama atachukua fomu ya ubunge wa Mtwara mjini

Liutenant

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
620
Reaction score
1,014
Huyu kijana nimemuona anayo maono makubwa na ataweza kusaidia ukuaji wa uchumi wa jimbo hili.

Kama safari hii atagombea kwa chama chochote nitampatia sapoti yangu ya hali na mali

Shehe THE BIG SHOW kipindi hiki msikosee
 
Huyu jamaa hataki kabisa mambo ya siasa,amejikita kwenye kuisaidia jamii kupitia Kaz zake
Amewahi kugombea mwaka 2010 kwa ccm na 2015 kupitia chadema. Kipindi hicho nilichangia kidogo na watu wa ccm walimteka akaja kupatikana amekonda sana na akaugua kwa muda.
 
Amewahi kugombea mwaka 2010 kwa ccm na 2015 kupitia chadema. Kipindi hicho nilichangia kidogo na watu wa ccm walimteka akaja kupatikana amekonda sana na akaugua kwa muda.
🤣🤣
 
Back
Top Bottom