Nitatoa tamko kuhusu video ya anayedaiwa kuwa kapteni wa jeshi la anga

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Leo nimepokea jumbe nyingi sana kutoka kwa wanaJF wengi wakitaka kujua msimamo wangu kuhusu hii video inayoendelea kusambaa.

Kesho mchana kwa saa za Afrika Mashariki nitatoa tamko kwa hii video ya mtu anayetajwa kama kapteni wa jeshi la anga.

Video hii iliyotengenezwa kwa msaada wa AI inahitaji ufafanuzi ili wananchi wasiendelee kupotoshwa.

UPDATE:
Baada ya kupokea simu na sms nyingi kutoka kwa wazalendo waliomo humu JFna nje ya JF kunisihi nisitoe kwanza tamko kali kwa sababu tayari JWTZ imeshatoa tamko nimeona niheshimu mawazo yao. Uzi wangu wa tamko sitauandika. Cha muhimu ni watanzania wote tunaoipenda nchi yetu kutotishwa na mpuuzi anayejiita kapteni Tesha kwa sababu nyuma yake kuna wapuuzi wengine kina polepole, Mange, Maria na genge haramu la Ufipa. Vyombo vya usalama vitashughulika nao. Sisi tuendelee kuchapa kazi kuijenga nchi yetu.
 
Sawa ila ina maneno mazuri mno hiyo video na ss tumeipenda hivo hivo. Bora hiyo ya kutengeneza kuliko zenu za live za kumuua ali kibao😠
 
Leo nimepokea jumbe nyingi sana kutoka kwa wanaJF wengi wakitaka kujua msimamo wangu kuhusu hii video inayoendelea kusambaa.

Kesho mchana kwa saa za Afrika Mashariki nitatoa tamko kwa hii video ya mtu anayetajwa kama kapteni wa jeshi la anga.

Video hii iliyotengenezwa kwa msaada wa AI inahitaji ufafanuzi ili wananchi wasiendelee kupotoshwa. Kama kawaida tamko langu ndo litakuwa msimamo wa JF kuhusu hili.
Wewe ni msemaji wa JWTZ?
 
Hatuhitaji ufafanuzi wako chawa wewe.

Mmelifisadi sana Taifa, tafuteni tu ndege za kuwatorosha na familia zenu kabla ya hiyo Oktoba 29
 
Leo nimepokea jumbe nyingi sana kutoka kwa wanaJF wengi wakitaka kujua msimamo wangu kuhusu hii video inayoendelea kusambaa.

Kesho mchana kwa saa za Afrika Mashariki nitatoa tamko kwa hii video ya mtu anayetajwa kama kapteni wa jeshi la anga.

Video hii iliyotengenezwa kwa msaada wa AI inahitaji ufafanuzi ili wananchi wasiendelee kupotoshwa.

Kama AI ina uwezo mkubwa wa kuchambua mambo yote aliyoyasema huyu Kapteni, basi inatufaa sana kuelimisha kenge na kusaidia kupambana na wahuni wana mtandao, ushachelewa kuleta uchambuzi wako mama!

Usijipe umuhimu na id fake hapa eti "msimamo" who cares msimamo wako? Kwani sisi ni familia yako hadi utupe huo unaouita msimamo mamaa?
 
Currently, public AI video generation tools hazina uwezo wa kutengeneza video ndefu zaidi ya dk 2. Unless unasema kwamba kuna Mtazania au Watanzania wenye budget zaidi ya tsh billion 2 na technical skills za kutengeneza AI yao wenyewe from scratch anonymously. Kitu ambacho hakiwezekani hata yesu arudi kesho.

Hata hivyo, ile video haiwezi kuwa AI sababu quality yake ni ndogo sana, kitu ambacho AI yoyote ipo trained kukiepuka.
 
Shida ya wabongo ni ujuaji wakati kule chuo wanakariri past papers walizofanya wazazi wao na kuchukua wanavyoita vyeti/makaratasi lakini maarifa wanayaacha chuo!
 
Leo nimepokea jumbe nyingi sana kutoka kwa wanaJF wengi wakitaka kujua msimamo wangu kuhusu hii video inayoendelea kusambaa.

Kesho mchana kwa saa za Afrika Mashariki nitatoa tamko kwa hii video ya mtu anayetajwa kama kapteni wa jeshi la anga.

Video hii iliyotengenezwa kwa msaada wa AI inahitaji ufafanuzi ili wananchi wasiendelee kupotoshwa.
Usijipe umuhimu usiokuwa nao. Utatoa tamko kama nani na tamko lako litakuwa dhidi ya nani?

Pumbavu.
 
Wewe ni miongoni mwa wasaliti wa hili taifa,mtu wa ovyo sana wewe...unaambatana na uchama kuliko katiba na utaifa - shame on you na majizi menzenu- ipo siku..
 
Back
Top Bottom