Utoe tamko kama nani?Leo nimepokea jumbe nyingi sana kutoka kwa wanaJF wengi wakitaka kujua msimamo wangu kuhusu hii video inayoendelea kusambaa.
Kesho mchana kwa saa za Afrika Mashariki nitatoa tamko kwa hii video ya mtu anayetajwa kama kapteni wa jeshi la anga.
Video hii iliyotengenezwa kwa msaada wa AI inahitaji ufafanuzi ili wananchi wasiendelee kupotoshwa.
SORA ambayo ni text to Video AI inauwezo wa kutengeneza clip yenye length isiyozidi dakika moja.Currently, public AI video generation tools hazina uwezo wa kutengeneza video ndefu zaidi ya dk 2. Unless unasema kwamba kuna Mtazania au Watanzania wenye budget zaidi ya tsh billion 2 na technical skills za kutengeneza AI yao wenyewe from scratch anonymously. Kitu ambacho hakiwezekani hata yesu arudi kesho.
Hata hivyo, ile video haiwezi kuwa AI sababu quality yake ni ndogo sana, kitu ambacho AI yoyote ipo trained kukiepuka.
POLELeo nimepokea jumbe nyingi sana kutoka kwa wanaJF wengi wakitaka kujua msimamo wangu kuhusu hii video inayoendelea kusambaa.
Kesho mchana kwa saa za Afrika Mashariki nitatoa tamko kwa hii video ya mtu anayetajwa kama kapteni wa jeshi la anga.
Video hii iliyotengenezwa kwa msaada wa AI inahitaji ufafanuzi ili wananchi wasiendelee kupotoshwa.
Bado haujakimbia Nchi tuLeo nimepokea jumbe nyingi sana kutoka kwa wanaJF wengi wakitaka kujua msimamo wangu kuhusu hii video inayoendelea kusambaa.