MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Wewe ni msemaji wa JWTZ?Leo nimepokea jumbe nyingi sana kutoka kwa wanaJF wengi wakitaka kujua msimamo wangu kuhusu hii video inayoendelea kusambaa.
Kesho mchana kwa saa za Afrika Mashariki nitatoa tamko kwa hii video ya mtu anayetajwa kama kapteni wa jeshi la anga.
Video hii iliyotengenezwa kwa msaada wa AI inahitaji ufafanuzi ili wananchi wasiendelee kupotoshwa. Kama kawaida tamko langu ndo litakuwa msimamo wa JF kuhusu hili.
Mimi ni mtu mwenye akili nyingiAcha kujipa umuhimu. Aya zima vpn ukalale wewe.
Leo nimepokea jumbe nyingi sana kutoka kwa wanaJF wengi wakitaka kujua msimamo wangu kuhusu hii video inayoendelea kusambaa.
Kesho mchana kwa saa za Afrika Mashariki nitatoa tamko kwa hii video ya mtu anayetajwa kama kapteni wa jeshi la anga.
Video hii iliyotengenezwa kwa msaada wa AI inahitaji ufafanuzi ili wananchi wasiendelee kupotoshwa.
Lijinga ww,Mimi ni mtu mwenye akili nyingi
Hizi ndoto za mchana kweupeMama out
Currently, public AI video generation tools hazina uwezo wa kutengeneza video ndefu zaidi ya dk 2. Unless unasema kwamba kuna Mtazania au Watanzania wenye budget zaidi ya tsh billion 2 na technical skills za kutengeneza AI yao wenyewe from scratch anonymously. Kitu ambacho hakiwezekani hata yesu arudi kesho.
Hata hivyo, ile video haiwezi kuwa AI sababu quality yake ni ndogo sana, kitu ambacho AI yoyote ipo trained kukiepuka.
Usijipe umuhimu usiokuwa nao. Utatoa tamko kama nani na tamko lako litakuwa dhidi ya nani?Leo nimepokea jumbe nyingi sana kutoka kwa wanaJF wengi wakitaka kujua msimamo wangu kuhusu hii video inayoendelea kusambaa.